04/05/2026
💻MACBOOK AIR M1 2020
🎯 M1 Chip
🎯 8 GB RAM
🎯 256 GB SSD
🎯 Retina Display
🎯 Fingerprint Scanner
🎯 Two Thunderbolt Type-C
🎯 Very Slim & Portable
: 🏷️Bei yake ni 1,450,000/= Tshs
OFFER ZAKE 🫴
🛍️LAPTOP BAG
🖱️WIRELESS MOUSE
🔦FLASH GB 64
☎️0788 634 937
WHATSAPP:0767 399 145
🌐Tupo Kariakoo Mtaa wa Likoma na Masasi Opposite na Benki ya Maendeleo
🚚WATEJA WA MIKOANI NA ZANZIBAR
UTARATIBU WA WATEJA WA MIKOANI
1.Unaweza kumwagiza ndugu au rafiki ambaye yupo Dar es salaam aje ofisini akukagulie na Kisha ufanye malipo na Kisha akutumie au tumsaidie kutuma.
2.UTARATIBU WA KULIPIA MZIGO UKIFIKA
Mteja atalipia hela ya usafiri Ambayo ni Kati ya 10,000 mpaka 20,000 kulingana na mkoa alipo na Baada ya hapo mzigo utatumwa mkoani na mzigo ukifika utapigiwa simu kwenda kuufuata mzigo wako na unakagua Kisha unafanya malipo baada ya kujirizisha.UTARATIBU huu ni waUAMINIFU MKUBWA SANA na hakikisha unajiridhisha Kabla ya kufanya malipo Kwa kuwa matapeli wapo pia.