BigMark zone

BigMark zone tunaprint tshirts, sare za shule, tunashona overcoarts, ovelol, combat na uniform za shule.

Tumesajiriwa kwa jina la BIGMARK ZONE

Tunajuhusisha na ushonaji wa nguo na kuprint tsh*t

Tunashona nguo za order Kama vile sale za shule, sale za kanisa, nguo maakulum Kama vile overcoat na reflector


Pia tuna to huduma ya tshirty za order zenye :-

Nembo ya kudaliz, pamoja na t-shirt form six quality ya juu, tutakupatia kwa elf 20 tu

Tshirty round kola pamoja na kudaliz tsh elf 15


Ghalama

ya kutengeneza nembo kwenye komputa ili iwe kwenye mfumo wa kudaliz ni elf 30

T-shirt round cola print kwa elf 10000 tu

Kwa maezo PigA 0753251372

19/04/2026
Kazi yetu pendwa ya upambaji mabanda...Zanzibar
14/02/2026

Kazi yetu pendwa ya upambaji mabanda...Zanzibar

Ka,zi yetu pendwa ya upambaji mabanda ya maonesho..karibu sana ...Zanzibar
14/02/2026

Ka,zi yetu pendwa ya upambaji mabanda ya maonesho..karibu sana ...Zanzibar

15/11/2025

Tupo lariakoo

29/10/2025

Follow the Bigmark Zone And Star Of The City channel on WhatsApp:

Kwa wajasiriamali/ wafanya biasharaBiashara ni pamoja na muda...yaana kuna muda wanunuzi wananunua kwako kwa sababu ya m...
18/09/2025

Kwa wajasiriamali/ wafanya biashara

Biashara ni pamoja na muda...yaana kuna muda wanunuzi wananunua kwako kwa sababu ya muda...yaani delivery time..kila mtu anauza bidhaa au huduma hiyo hiyo ..lakini amabaye ata deliver in time huyo ndie ana winne market. So unapofanya huduma kwa wateja wako zingatia delivery time ili kuhakikisha unakidhi matarajio ya wateja wako.
Jitofautishe na washindani wako kwa kuwa in time kufanikisha mahitaji ya wateja wako

By
Ezekiel Nyingi

Market advisor

15/11/2024

Kuna muda focus ya kile unachokiona kwenye mafanikio au makusudio kinapotea..nguvu ya kusonga mbele inaisha , matumaini yanapotea na tamaa inaisha. Na huo ndio mtihani mkubwa wa kufikia mafanikio... ukiwezakushinda hivyo vikwazo hakika utafika pale ndotozako zinapokupeleka..

Ukipata wakati mgumu k**a huo, usikate tamaa, kumbuka hakuna mafanikio rahisi, kaa chini rudisha fikra nyuma..angalia mambo magumu uliyoyavuka, angalia uwezo wako mkubwa kwa mapito uliyopitia...tumia hayo mafanikioa kupatanguvu ya kufika unakokwenda.

Kuna mpaka wa ugumu kati ya ulipo na pale penye mafanikio unapotamani kufikia.

Usikate tamaa, matatizo au changamoto zitumike kukuimarisha na si kukukatisha tamaa...Kaachini jipange vizuri...songa mbele.ipo siku utafika kilele cha mafanikio

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BigMark zone posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BigMark zone:

Share