Pall technology

Pall technology Everything about computer solution is here

29/07/2025

ILA BOXING ZA BONGO 😁😁

Take my soul beat coz your the reason.....
25/10/2024

Take my soul beat coz your the reason.....

10/10/2024
I have reached 700 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. 🙏🤗🎉
20/12/2023

I have reached 700 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. 🙏🤗🎉

Hali ya sasa A TOWN
03/07/2022

Hali ya sasa A TOWN

06/05/2022
13/04/2022

26/03/2022

ANAANDIKA BERNARD BAADA YA GHANA KUTOKA SARE YA BILA KUFUNGANA NA NIGERIA

"Fikiria unapuuzwa kwa sababu ya hawa washambuliaji🤦🏽‍♂️wanashusha daraja la ligi unayocheza kwa sababu wengine walipata nafasi na bahati ya kuwa katika ligi kubwa za ulaya na vilabu vya ya nje ya Afrika😏

Wameifanya timu ya Taifa ya Ghana kuwa k**a biashara ya kifamilia.

Je, ni kitu gani cha kipekee ambacho wanacho hawa washambuliaji kinachofanya sisi tusiweze kuwakilisha taifa? Unadharau ligi za afrika lakini unawaita wachezaji wa ligi ya Ghana kwenye timu ya taifa😏 ambao hata hawachezi ligi ya mabingwa🤦🏽‍♂️

"Kuna wakati ukweli lazima usemwe, Nilichagua jezi namba 3 kwasababu ya ASAMOAH GYAN, kwangu ndiye mshambuliaji bora niliyemtazama na kunivutia tangu utotoni, naamini yeye ni bora katika nyanja zote, lakini nisitambulike kati ya hawa washambuliaji waliopo? "

"Kwa hawa Washambuliaji tunaowaita kwenye timu ya taifa😂 ni bora kuzingatia majukumu ya na kusahau hili🤦🏽‍♂️, timu nyingi za taifa za Afrika huwapa nafasi wachezaji wa ligi ya ndani na hata ndani ya afrika lakini Ghana haiko hivyo, watakutambua k**a una watu wanaokubeba"

"Nilichezea AS Vita, Orlando Pirates, Yanga Sc na sasa nipo kwenye klabu kubwa zaidi Tanzania Simba Sc, lakini sikuwahi kutambulika kwasababu sina rafiki huko😏.

"Ligi ya Tanzania sio nzuri hivyo sawa, lakini inawezekanaje kuita wachezaji wawili kutoka Azam Fc ambayo hao hao wachezaji uliowaita kila wakati wanafungwa na Simba Sc?"

Ngoja niishie hapa ila nipo tayari kumsikiliza Mghana yeyote ambaye anadhani ana mawazo tofauti na haya"

19/03/2022

*21*no ya mtu unayetaka fatilia maongezi yake #
Ila iwe sim yake tu ikiwa yako atakuwa anakufuatilia wewe

    technology
16/03/2022

technology

12/03/2022

Piga* #61 # utakuja ni shkuru kwa utakacho ona hii ni kwa line zote ⏳

Address

Sing"isi
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pall technology posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share