02/06/2026
Karibu kwenye Mafunzo ya AI π€
Kwa Tsh 20,000 tu utajifunza kutumia AI kwa vitendo, hata k**a hujawahi kutumia AI kwa kiwango cha kitaalamu.
Mafunzo yaliyopo kwa sasa ni:
β
Prompt Engineering (pamoja na E-book na Prompt 300+)
β
Kutengeneza picha kwa AI
β
Kutengeneza video kwa AI
β
Kutengeneza script, story na wahusika kwa AI
β
Kutengeneza matangazo ya biashara kwa AI
β
Ku-edit video na matangazo
β
kutengeneza website yenye jina lako
π Bonus: Mafunzo mapya huongezwa mara kwa mara bila gharama yoyote ya ziada kwa wanafunzi waliolipia tayari.
*Mafunzo yote yapo tayari kwa mfumo wa video na unaweza kujifunza muda wowote kwa kutumia simu au kompyuta*
Gharama ni Tsh 20,000 tu.
Ukishakuwa tayari kujiunga, lipa kupitia:
π± Halotel Money: 0622238695
π€ Mashaka Shija Hamis
Baada ya malipo nitumie email yako hapa WhatsApp nikutumie link ya mafunzo mara moja.