Dyantech Solutions

Dyantech Solutions Leading IT solutions provider with vast experience in network designing & installation and security

TESLA BIASHARA K**A KAWAIDA 💴 🚗 -Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha magari ya umeme duniani Tesla Elon Musk, anathubutu...
12/05/2020

TESLA BIASHARA K**A KAWAIDA 💴 🚗
-
Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha magari ya umeme duniani Tesla Elon Musk, anathubutu mamlaka ya kumk**ata baada ya kufungua tena kiwanda cha Tesla.

Musk alisema kiwanda hicho kitafunguliwa "dhidi ya sheria za Kaunti ya Alameda."

"Nitakuwa kwenye mstari na kila mtu mwingine," aliandika. "Mtu yeyote akik**atwa, ninaomba ni mimi tu."

Lakini atazingatia kanuni za afya za wafanyakazi wake.

Hii inatuonesha wafanyabiashara wapo tayari kujitolea kuendelea na kazi katika hichi kipinid cha covid-19

-
Pamoja tunaweza


Happy Easter everyone, enjoy your holiday with your family, be safe and wash your hands-Love Dynatech
12/04/2020

Happy Easter everyone, enjoy your holiday with your family, be safe and wash your hands
-
Love Dynatech

Katika kipindi hichi cha Corona makampnuni kadhalika ya kimataifa yameonekana kupata fursa kupitia ubunifu wa biashara z...
08/04/2020

Katika kipindi hichi cha Corona makampnuni kadhalika ya kimataifa yameonekana kupata fursa kupitia ubunifu wa biashara zako
-
Huu ubunifu umesaidia makampuni mbali mbali kusaidia watu kufanya kazi nyumbani na kupata mahitaji yao muhimu

Makampuni haya yanahusisha
1. Slack
2. Zoom
3. Netflix
4. Amazon
5. Alibaba n.k.

Haya makampuni yanonekana kukua uwezo wao hisa katika kipindi hichi cha Corona

@ MbeziBeach (Africana)

 tunahakikisha unafanya kazi nyumbani kwa usalama wa afya yako na wakupendao-Tujikinge na masmbukizi ya Corona
02/04/2020

tunahakikisha unafanya kazi nyumbani kwa usalama wa afya yako na wakupendao
-
Tujikinge na masmbukizi ya Corona

31/03/2020

Kampuni ya statgear kutoka marekani imetengeneza kifaa kinachoitwa hygenhand kinachosaidia kukuepusha wewe kupata maambuziko ya virusi vya Corona kwa njia ya kugusa maeneo ambayo wengine wamegusa

-

Huu ndio ubunifu

31/03/2020

Katika kipindi hichi cha ugonjwa wa Virusi vya Corona, wanasayansi wanafanya ubunifu wa kifaa kinachoweza kukupa majibu k**a umeathirika na huo ugonjwa ndani ya dakika 30
-

Laptop bora mwaka 2020,1. HP EliteBook x360 1040 G52. Lenovo ThinkPad X1 Extreme Gen 23. HP ZBook Studio4. Dell XPS 13- ...
25/03/2020

Laptop bora mwaka 2020,
1. HP EliteBook x360 1040 G5
2. Lenovo ThinkPad X1 Extreme Gen 2
3. HP ZBook Studio
4. Dell XPS 13

-
@ Dar es Salaam, Tanzania

 -Leo tunaangalia anitivrus bora mwaka 2020 za kuweka kwenye laptop 💻 kwa ajili ya ulinzi kutoka kwa virusi 1. Bitdefend...
24/03/2020


-
Leo tunaangalia anitivrus bora mwaka 2020 za kuweka kwenye laptop 💻 kwa ajili ya ulinzi kutoka kwa virusi

1. Bitdefender Antivirus Free Edition
2. AVG Antivirus Fee
3. ZoneAlarm Free Antivirus
4. Malwarebytes Anti-Malware Free
@ Dar es Salaam, Tanzania

20/03/2020

Kwa mara ya kwanza smartphone imeweza tuma ujumbe kutoka nje ya anga

20/03/2020

Laptop yako ijayo ni zaidi ya laptop.
Hii ndio kauli mbiu ya kampuni ya apple ilipotoa iPad Pro mpya itakayouzwa kuanzia Million 1.8 za kitanzania ikifuatiwa na Smart Keyboard Yenye thamani kuanzia Laki Saba za kitanzania
-
Hii kweli ni zaidi ya laptop.

Apple imetangaza IPad Pro mpya, ambayo itakua na ukubwa wa inchi 11 na inchi 12.9.Ipad itaanza kuuzwa  kwa bei ya kitaan...
18/03/2020

Apple imetangaza IPad Pro mpya, ambayo itakua na ukubwa wa inchi 11 na inchi 12.9.
Ipad itaanza kuuzwa kwa bei ya kitaanzania Mil 1.8 za
-
Utofauti wake ni nini?!
1.. A12Z Bionic Chip
Hii ina nguvu kuliko laptop ya kawaida maana ina processor ya core 8 za graphics. Kifanya uwezo wake kuwa mkubwa na wenye nguvu sana.

2. Kamera ya Ultra Wide
Hii kamera ina Lens yenye pembe pana ni lensi ambayo urefu wake wa karibu ni mfupi kuliko upande mfupi wa filamu au sensor.

3. LiDAR Scanner
Lidar ni njia ya uchunguzi ambayo hupima umbali wa shabaha kwa kuangazia lengo na taa ya laser na kupima taa iliyoonyeshwa na sensonew iPad Pro

Na mengine mengi.
-

16/03/2020

Sasa vipofu wanaweza ona!!
-
Teknolojia ipo kuturahisishia maisha na hii no hata Kwa vipofu Kwa kutumia smart watch Mpya Kwa ajili yao sasa popote walipo wanaweza pata taarifa Kwa urahisi zaidi
-
Utandawazi ndio huu

Address

Alesika Street
Dar Es Salaam
10000

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255658998669

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dyantech Solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dyantech Solutions:

Share