Kubwa Jinga Trending's

Kubwa Jinga Trending's KWA HABARI ZOTE KUBWA KUBWA ZILIZOTAWALA VYOMBO VYA HABARI NA SOCIAL MBALI MBALI TUFOLLOW HAPA 👏

Kikosi cha  Young Africans Sports Club Kinachoanza Dhidi Ya al-ahly ya Misri Katika Mchezo Wa Mwisho Wa Makundi Barani A...
01/03/2024

Kikosi cha Young Africans Sports Club Kinachoanza Dhidi Ya al-ahly ya Misri Katika Mchezo Wa Mwisho Wa Makundi Barani Africa.

Sisi Ni wa Mungu Na Kwake Tutarejea Ulale Salama MWINYI
29/02/2024

Sisi Ni wa Mungu Na Kwake Tutarejea Ulale Salama MWINYI

“Nadhani kitu ghali zaidi nilichowahi kununua ni klabu ya mpira inaitwa Simba inamashabiki milioni 35, niliinunua hii kl...
29/02/2024

“Nadhani kitu ghali zaidi nilichowahi kununua ni klabu ya mpira inaitwa Simba inamashabiki milioni 35, niliinunua hii klabu miaka mitano iliyopita, nimepoteza takribani Dola za marekani milioni 4 (Tsh bilioni 10.2) kwa mwaka mmoja na kwa miaka yote mitano nimepoteza Dola za marekani milioni 20 (Tsh bilioni 51).

“Nimeifanya Simba kuwa kwenye orodha ya vilabu 10 Bora Afrika inaleta furaha kwa watu na Afrika pia ni furaha kwangu,” Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji akizungumza kwenye Podcast ya Ahmed Mahmood.

Credit by

Kiungo wa zamani wa Manchester United Paul Pogba ambaye kwasasa ni mali ya Juventus amefungiwa kucheza soka kwa muda wa ...
29/02/2024

Kiungo wa zamani wa Manchester United Paul Pogba ambaye kwasasa ni mali ya Juventus amefungiwa kucheza soka kwa muda wa miaka minne baada ya kukutwa na hatia ya matumizi ya dawa yanayoongeza nguvu , ambayo kisheria hairuhusiwi kwenye wanamichezo .

Pogba ambaye mwezi Machi mwaka huu atakuwa anatimiza miaka 31 , kifungo chake kikiisha atakuwa na miaka 35 .!

Faustine Mfinanga Kabla Hajawa Nandy The African Princess 😂
29/02/2024

Faustine Mfinanga Kabla Hajawa Nandy The African Princess 😂

"Kwa sasa nina miaka 22 ila biqra yangu nimeitoa mwaka jana nikiwa na miaka 21. Vigezo ninavyoangalia kwa mwanaume ili n...
29/02/2024

"Kwa sasa nina miaka 22 ila biqra yangu nimeitoa mwaka jana nikiwa na miaka 21. Vigezo ninavyoangalia kwa mwanaume ili niwe nae kwenye mahusiano, kwanza awe mrefu mwembamba, mweusi au mweupe kidogo, asiwe na kitambi na cha mwisho awe na pesa"- Judith wa Juakali ameiambia Lavidavi ya Wasafi fm

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kubwa Jinga Trending's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category