jacksoni_mrema

jacksoni_mrema Source of Entertainment And Sport
Home Of Gossips and Trending Stories
Follow And Subscribe Our YouTube Channel
And Turn On Notification
๐Ÿ‘‡

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Iimemfungiamsanii wa muziki, Godfrey Tumaini, maarufu k**a  , kujihusisha na shughuli ...
25/09/2026

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Iimemfungia
msanii wa muziki, Godfrey Tumaini, maarufu k**a , kujihusisha na shughuli yoyote ya sanaa pamoja na kumpiga faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000).

Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 19 Septemba, 2026, wakati wa Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava lililofanyika katika Viwanja vya General Tyre, jjini Arusha.

Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na BASATA, msanii huyo alikiuka mNongozo wa maadili katika kazi za sanaa na kuvunja heshima ya msikilizaji na mtazamaji akiwa jukwaani, kinyume na Kanuni ya 20(a) ya Baraza la Sanaa la Taifa.

Kuvunja kubwa: Manchester City inaweza Kuondolewa kutoka Ligi Kuu! Manchester City imeonekana kuwa na hatia Juu ya yote ...
25/09/2026

Kuvunja kubwa: Manchester City inaweza Kuondolewa kutoka Ligi Kuu! Manchester City imeonekana kuwa na hatia Juu ya yote lakini moja ya Ligi Kuu ya 115 mashtaka yanayohusiana na uvunjaji wa kifedha.

Vikwazo bado havikuamua, na Adhabu zote zinazowezekana bado kwenye meza. inaweza kujumuisha faini, punguzo la pointi au hata kufukuzwa kutoka Ligi Kuu.

25/09/2026

alivyofanyiwa
surprise ya Birthday na mume wake siku ya jana. ikumbukwe Kwa Sasa Zari ametimiza miaka 46

"will YoU Be There" ilitolewa mwaka 1991, ikiwa kwenye album Dangerous ya  . Wimbo huu ulikuja kuwa moja ya nyimbo ziliz...
25/09/2026

"will YoU Be There" ilitolewa mwaka 1991, ikiwa kwenye album Dangerous ya . Wimbo huu ulikuja kuwa moja ya nyimbo zilizokumbukwa sana za Michael, ukiwa na ujumbe wa upendo, uaminifu na kuwa pamoja wakati wa changamoto.

Mwaka 1988, alivuta takriban watu 125,000 kwenye concert yake Aintree Racecourse, Liverpool, wakati wa Bad World Tour. Msongamano

huo uliwaacha zaidi ya watu 1,500 wamejeruhiwa. Hii ilikuwa concert ya mwaka 1988-kabla "Will You Be There" haijatoka.

25/09/2026

amchana shabiki alie chora sura yake kwenye Mkono wake.

Picha mpya kutoka kwa mMsanii wa Bongofleva
24/09/2026

Picha mpya kutoka kwa mMsanii wa Bongofleva

24/09/2026
Staa Wa Muziki Wa BongoFleva  Amefungiwa Kujihusisha Na Kazi za Muziki Mpaka Pale Atakapotekeleza Maamuzi Yaliyotolewa N...
23/09/2026

Staa Wa Muziki Wa BongoFleva Amefungiwa Kujihusisha Na Kazi za Muziki Mpaka Pale Atakapotekeleza Maamuzi Yaliyotolewa Na .tanzania Maamuzi Hayo Yanetolewa Kufatia Video Ya Wimbo Wake Wa Ambao Umeonekana Hauna Maadili Kvwa Jamii.

"Nilisaini mkataba na Sony Music mwaka 2016 na ilikuwa ni kipindi kibaya sana kwangu. Kabla ya hapo nilikuwa na miaka mi...
23/09/2026

"Nilisaini mkataba na Sony Music mwaka 2016 na ilikuwa ni kipindi kibaya sana kwangu. Kabla ya hapo nilikuwa na miaka mizuri sana kuanzia 2011 hadi 2015. Sikuwahi kutaka kusaini na label kubwa kwa sababu nilihisi k**a Afrobeats bado haijafika wakati wake, tulikuwa tunaitwa tu mziki wa Africa. Nilihisi mimi ni k**a jaribio tu.

Nilikuwa na furaha nikiwa Nigeria, nafanya show zangu, naenda Benin nachukua milioni yangu, naenda huku na huku, naenda UK na-Sold Out, naenda America na-Sold Out, kwa hiyo sikuwa naona haja ya kusaini.

Lakini niliposaini tu, kila kitu kiliharibika. Kutoa nyimbo ikawa shida. Nilitoa EP haikufanya vizuri kabisa, hakuna kilichokUwa sawa. Sauti yangu pia ilikuwa mbaya, sikuwa na furaha.

Nikaondoka Nigeria kwa k**a miezi 8, nikarudi nikaikuta industry imeshabadilika yote! Nilishangaa, nikasema nini kinaendelea Nilihisi k**a nimesahaulika, nilianza kupata depression mwaka 2016 for real!

Na ndipo alinipigia simu siku moja, akaniambia ibuka studio nataka nikupigie kitu. Akani-pigia ngoma ya 'IF'! ikafanya poa! Na hapo ndipo kila kitu kilirudi!"

Kupitia ukurasa wa  Instagram wa    ameposti ujumbe huu."Napokea  tupunguze mateso ya wenye nyumbamaana si kudhalilishan...
23/09/2026

Kupitia ukurasa wa Instagram wa ameposti ujumbe huu.

"Napokea tupunguze mateso ya wenye nyumba
maana si kudhalilishana huku . kwahio Bakuli Hilo nichangien Diva wenu

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when jacksoni_mrema posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share