05/12/2019
GPS tracker ni kifaa maalumu kinachofungwa kwenye magari na kufanya kazi direct na satellite ili kuweza kutambua gari lilipo muda wote.
kifaa kinaweza fungwa kwenye lori , basi , taxi , toyo , bajaji, kirikuu n.k..
😱SIRI TANO NA FAIDA ZA KIFAA HIKI CHA GPS 😱TRACKER
✅1. K**a una gari au pikipiki za biashara utajua dereva wako alikuwa wapi siku nzima, na utapata full report ya route za gari kupiitia simu yako.
✅2. Muda wote utaliona gari lako kupitia simu yako
✅3. Utaweza hadi kuzima gari kupitia simu yako, Unaweza ukawa Mwanza na ukalizima Gari lako likiwa Dar kwa kutumia simu yako Tuu 🙌🏼
✅4. Unaweza kuset kifaa hichi kikutumie sms na alarm endapo uta Overspeed.
( Maximum speed utachagua mwenyew either 100Km/hr au 20Km/hr 😂😜 )
✅5. Kifaa hichi kitaweza kuzia gari lako lisitoke ndani ya eneo husika ( mtaa, mji, au mkoa ) na endapo likitoka utachagua either lizime au likutumie sms kwenye simu yako.
👌WALENGWA WA KIFAA HIKI👌
Kifaa hichi kinaweza kufungwa kwenye gari za biashara na gari binafsi, so k**a una gari ya uber, pikipiki, daladala au bajaji, ujue kuwa hichi sio cha kukosa. Kwa Sasa kipo katika Promotion ambayo itaisha baada ya wiki 1.
BEI ZAKE NI huwa ni
⭐🔥 Ths. 250,000 /= kwa gari Ila Kwa sasa ni Tsh 195,000/=
🌟⭐ Ths. 22000/= kwa bajaji ila kwa sasa ni 170, 000/= na
⭐🔥 Tsh. 180,000 /= pikipiki ila kwa sasa ni Tsh. 140, 000/ =
( NB: Hii ni bei ya Promotion itakayoisha baada ya siku 7 🔥)
Ofisi zetu zinapatikana Sinza Makaburini,
📞📲 +225766095305 📲📞
📞📲 +225710059905 📲📞
Kwa Sasa, Tunafunga kifaa hicho kwa wateja wanaopatikana Dar Es Salaam Tu!·
NOTE! Hatupokei pesa kwa njia ya simu. Utatulipa pale utakapokiona kifaa na kuridhika nacho.
🚚CASH ON DELIVERY🚚
Nakukumbusha kauli moja ya wahenga, “Kinga ni Bora kuliko Tiba!”.
JAZA FOMU HII ILI KUWEKA ODA YAKO MAPEMA!
BONYEZA HAPA==>https://forms.gle/rwCUxAJQrR8jphWT6
https://shop.rajotechnologies.com/