15/11/2023
Tenga muda wa kuzifanyia service computer zako iwe laptops ama desktop japo mara moja kila baada ya miezi mitatu ili kuziwezesha kudumu na kufanya kazi kwa ufanisi zaidi kwa mawasiliano zaidi unaweza tupigia.๐
SIMU:0719365163
OFISI:SOKO LA MAGOMENI
Pia tunaweza kuja iwe ofisini kwako hama nyumbani.