kachu_computers

kachu_computers compuert solution &repail

03/07/2026

MalumeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ«‘

Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba ameamuru nyambizi mbili za nyuklia za nchi hiyo zipelekwe kwenye maeneo maw...
01/08/2025

Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba ameamuru nyambizi mbili za nyuklia za nchi hiyo zipelekwe kwenye maeneo mawili ya kimkakati kufuatia matamshi aliyoyataja kuwa ya "kijinga na uchochezi" yaliyotolewa na Rais wa zamani wa Urusi, Dmitry Medvedev. Hivi karibuni Medvedev alitishia uwezekano wa kutokea makabiliano ya kijeshi kati ya Urusi na Marekani baada ya Trump kuipa Urusi muda wa siku 10 hadi 12 pekee kusitisha vita nchini Ukraine au ikabiliwe na vikwazo. Trump hajasema ni wapi nyambizi hizo mbili zitapelekwa, lakini vyombo hivyo vya kivita vinavyozama chini ya bahari vina uwezo wa kufanya mashambulizi makubwa ya makombora ikiwemo yale ya nyuklia. Tupe mtizamo wako kuhusu taarifa hii.

Address

Ilala Boma
Dar Es Salaam
9667

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kachu_computers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share