Maisha na ujuzi

Maisha na ujuzi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maisha na ujuzi, Computers & Internet Website, makumbusho, Dar es Salaam.

Kuishinda hofu ni dhana kubwa ya kila hatua kimaendeleo
20/09/2023

Kuishinda hofu ni dhana kubwa ya kila hatua kimaendeleo

20/09/2023

Saidia sana watu lakini uwe na uhakika kwamba (ili usiumize moyo wako) kila utakayemsaidia hatokusaidia chochote, na siyo lazima, ila atakuja tena umsaidie siku akiwa na shida nyingine!

Kuwa mjanja epuka kuonekana bila kujua
21/08/2023

Kuwa mjanja epuka kuonekana bila kujua

28/12/2022

Tunauza virutubisho vya mwili vinavyotokana na mimea asilia, husaidia kuupa mwili nguvu na kinga dhidi ya maradhi mbalimabali.
Pia tuna dawa za uzazi za tiba asilia K**a vile homoni, mbegu, mayai, uvimbe , fangasi sugu.
Tupo kijitonyama mkabala na kanisa cathoric jijini dar, kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa simu no 0784117830.
Dawa zetu zote ni kutoka marekani, china, korea na India.

05/12/2022

A gift of storage solution from us to store your memories.

05/12/2022

WordPress 5.9.2 is now available! This security and maintenance release features 1 bug fix in addition to 3 security fixes. Because this is a security release, it is recommended that you updat…

05/12/2022

05/12/2022

Endapo utahitaji ulinzi wa taarifa zako unazotaka ziwekwe kwenye flash basi hilo ni jambo dogo sana kwa kutumia flash za .

Unaweza kuamua kuigawa sehemu yenye ulinzi na isiyo na ulinzi au ukailinda flash yote.

Utaweka 'password' ambayo itahitajika kila mara unapopachika flash yako kwenye kompyuta.

Hata flash ikipotea hamna mtu ataweza kusoma vitu vilivyoko kwenye flash bila kuwa na hiyo 'password'.

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maisha na ujuzi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share