Eng Wambili

Eng Wambili Phone Tech Tips Creator | Technology Enthusiast | Sharing smart tricks to make your phone work better
(1)

25/05/2026

JINSI YA KUEKA LOCK KWENYE WHATSAPP CHAT ZAKO 🔒

Watu wengi bado hawajui kwamba unaweza kuficha chats zako kwa fingerprint au password 😳
Angalia hii video hadi mwisho!

21/05/2026

Fanya hivi kupata password ya Wi-Fi yoyote!👇👇👇👇👇👇🔥👇

19/05/2026

Tumia hii mbinu kuchaji simu yako ndani ya dk 30 inajaa

18/05/2026

Hii setting ukiiwasha itakusaidia sana!

16/05/2026

Washa hii setting utanishukuru badae!

15/05/2026

Hii ndiyo njia rahisi ya kuzuia mtu yeyote kukuadd kwenye whatsapp group bila ruhusa yako.

14/05/2026

Bando lako linaisha bila kulitumia?
Tazama hii video kujua nini sababu na jinsi ya kuzuia.

13/05/2026

Kwa nini baadhi ya simu zikifika 30% zinazima!

12/05/2026

Hii video itakufundisha jinsi ya kuficha Apps zako zote!

11/05/2026

K**a Tiktok yako inakula sana bando tazama hii video kuzuia isiendelee kula bando lako sana ukiwa unaitumia

09/05/2026

K**a huwa unapigwa ukinunua chaja ya simu yako angalia hii video kuna cha kujifunza!

Address

Dar Es Salaam
00000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eng Wambili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share