22/10/2020
Hakikisha mali zako ziko salama kwa kufunga CCTV camera. Camera hizi zinakuwezesha kuona mali zako zilizoko nyumbani, ofisini,dukani, hotelini n.k. Pia unaweza kufuatilia matukio yote kupitia simu yako ya mkononi ukiwa mahali popote. Huduma zetu ni nafuu,bora na za uhakika. Karibu sana.