15/08/2026
Great companies are BUILT on SYSTEMS - and GREAT
SYSTEMS are driven by a STRONG TEAM.
Kampuni/Taasisi zote kubwa duniani zinaongozwa na
mifumo, lakini bila TEAM imara ya kuutekeleza, hauwezi
kuleta matokeo makubwa. Hapa ndio tunamwitaji HR
Manager, Director, Accountant, Marketing & Branding
Officer n.k
Staff ID ni sehemu ndogo ya Team ila yenye umuhimu
mkubwa sana. Kwanza inabeba utambulisho wa
Mfanyakazi na pia inasimama k**a Balozi wa kuitangaza
Proffesionalism ya wafanyakazi au Kampuni haiwezi kuwa
kamili pasipokuwa na Utambulisho rasmi wa Staff
members
Smatt Group tupo ili kuweka tofauti kati ya Mfanyakazi wa
taasisi na KIBARUA. Tunatengeneza VITAMBUSHO vyenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu sana.
Ukitengeneza vitambulisho kwetu unapata
1. PVC ID Card ngumu yenye QR CODE,
2. Kamba iliyochapishwa jina/nembo ya kampuni
3. Holder ngumu ya Id
4. FREE ARTWORK DESIGN
Pia tunaprint T shirts, Mabango ya ndani na nje
Vitambulisho, Kofia, Calenders, Pen, Business Cards
Vikombe, Chupa, Vitabu vya receipts, order Books,
Profoma, reflectors, Door signs, picha mbao, picha saa
n.k
Wasiliana nasi kwa WhatsApp no 0686 907 945 au Fika
ofisini zetu zilizopo kwa Azizi Ally Temeke.
.