Maishuu Business Ideas

Maishuu Business Ideas Information and electronics Technology

TUNA OFFER YAKO LEO... HII HAIJAWAHI KUTOKEA HATA SIKU MOJA."Huduma ya Electric fence ni huduma rafiki sana kwa mazingir...
21/06/2024

TUNA OFFER YAKO LEO... HII HAIJAWAHI KUTOKEA HATA SIKU MOJA.

"Huduma ya Electric fence ni huduma rafiki sana kwa mazingira yako kuwa katika usalama mzuri kwa kila mvamizi au mporaji. Ukubwa wa Gharama ya huduma katika kuimarisha usalama wako na familia hauna thaman sana kuliko USALAMA WENYEWE.

Wengi wanadharau jambo hili hata nia hawanalo moyoni mwao lakini umuhimu wake wanakuja kuutambua baada ya kupata majanga au misukosuko.

WAZAZI AU WALEZI WAZURI ni wale wenye kuzipa familia zao haki na wajibu stahiki ikiwemo Amani yao, Usalama wao, na kuwalinda kutokana na kila aina ya madhara na misukosuko yenye kuepukika....Kinga ni Bora kuliko Tiba.

Wasiliana na maishuu_electronics tukufungie ELECTRIC FENCE Kwa bei rafiki na rahisi sana na matumizi ya umeme ni madogo sana sana kwa mwezi...

1.Si rahisi kuuruka ukuta au kuugusa waya wa fence ni UZIO kwa wavamizi au wezi au vibaka..hii ni kiboko.

2. Akiukata au kuugusa kitalia king'ora kwa sauti kubwa sana tena sana.

3.Umeme ukikatika bado fence itaendelea kufanya kazi k**a kawaida

4.VIFAA vyote havishiki kutu,Ni ALUMINIUM 100% PURE...Tunaanzia Line 8.

5.Hakuna nguzo itakayopinda au kuchomoka au kulegea kwa waya

6.Hakuna upotevu wa Power kwenye fence,nguvu ni ileile ole wao waje waguse au kukata waya usiku wataonja shubiri ya maumivu

7.Tunakupa warranty wa miezi18 kwa ubora wetu, chochote kitachohitaji marekebisho tutakuja bure kukurekebishia.

8.Gharama nafuu ubora ni NAMBA moja ndio maana guarantee 💯 😂.

9.Usafi wa Kazi na mpangilio pamoja na ubunifu ndio kimbilio letu.

10.Ni wafanyakazi wabobevu,wajuzi na wenye taaluma ya IT, Telecommunication, Electric na ELECTRONICS engineering n.k

11. Je unahitaji na zawadi??? Tupigie leo kabla ya offer kuisha...Kuna offer za CCTV CAMERA NA video Door Phone na Gate Motor.Je ni zipi hizoooo....TUPIGIE LEO Tushauriane tukusaidie

Ofisi zetu zipo TABATA KINYEREZI MWISHO
DAR ES SALAAM
0714 890 944...

🇹🇿
https://www.instagram.com/p/CnhGfDQt7TK/?igsh=MWZlNmZtcDlka2I2NQ==

*OFFER HII SIO YA KUIKOSA NA ZAWADI NZURI TENA SANA Soma hadi chini uone zawadi pindi ukifungiwa Electric fence*《Ni offe...
21/06/2024

*OFFER HII SIO YA KUIKOSA NA ZAWADI NZURI TENA SANA Soma hadi chini uone zawadi pindi ukifungiwa Electric fence*
《Ni offer ya muda mfupi Iwahi mapema》

"SIKU HAZIWI SAWA..Jana, Leo na Kesho ni siku zisizofanana abadan... Usiwe na mazoea ya Jana ukitarajia kesho itakuwa Sawa na ya leo... Hali zinabadilika kila sekunde.Mazoea ya kuwa upo SALAMA kila siku bila kuchukua tahadhari sio mazoea mazuri NA wala usijiamini kupita kiasi.Muamini Mungu kisha chukua hatua.

●☆ Gharamika kutunza na kudumisha ♡AMANI na USALAMA ♡ wa mazingira yako ili kuepuka majuto baada ya mitihani au misukosuko ambayo kwa namna moja ama nyengine tungeweza kuizuia.

●Weka ELECTRIC FENCE Leo nyumban kwako kwa gharama nafuu kutoka . Tupo kwa ajili yako kila siku.

●Kazi zetu ni Safi, IMARA, zimenyooka, hakuna upotevu wa Power, ubora 100%, Aluminium 100%, warranty miezi 24 ya Matengenezo bureee na mashine ikiharibika tunakupa MPYAAA.

●Wasiliana nasi sasa hivi kwa
0714 890 944 au 0768 401 161
Tupo Kinyerezi mwisho
Dar es Salaam.

Moja ya zawadi hizi unaweza kujipatia
☆Sub woofer ya speaker 3
☆Blender
☆Simu ya mezani
☆Mabegi ya watoto ya shule
☆Router ya internet
☆Video Door Phone(kengele ya video ya mlangoni)
☆Simu ya Mkononi
☆ Tshirt na vikombe vya maishuu_electronics


https://www.instagram.com/p/CobkVMaNXds/?igsh=MWxyNzVqY25ydHg1OA==

KWANINI UFUNGE CCTV CAMERA NYUMBAN/BIASHARA ZAKO___ OFFER hii ni ya muda mfupi.((CHAGUA OFFER YAKO KUBWA HAPA CHINI 👇))C...
22/06/2022

KWANINI UFUNGE CCTV CAMERA NYUMBAN/BIASHARA ZAKO___ OFFER hii ni ya muda mfupi.
((CHAGUA OFFER YAKO KUBWA HAPA CHINI 👇))

CCTV Camera ni mfumo unaotumia video kukusanya picha na kuhifadhiwa kwa madhumuni mbalimbali kulingana na matakwa ya mtumiaji.

Tekinologia hii ya CCTV camera imekuja kuwa Nguzo muhimu kwa matumizi ya kusimamia na kuimarisha usalama/ulinzi wa NYUMBA au BIASHARA.

Umuhimu wa CCTV camera kwenye eneo lako:

1.Inapotokea upo mbali na NYUMBANI au BIASHARA yako unaweza kufuatilia mienendo na MATUKIO Yooote kupitia simu yako au kompyuta.

2.Inasaidia kuzuia uhalifu au wizi wowote kutokea.Wezi/Wavamizi wengi wakijua kuna Camera inakuwa ngumu kufanya matukio yao.

3.Inachochea tabia njema kwa wafanyakazi.

4.Na inashajihiisha au kuimarisha huduma bora kutoka kwa wafanyakazi wa nyumbani au wanaosimamia biashara yako.

5.Inasaidia Kutumika kuthibitisha makosa ya kiutendaji, wizi au uhalifu au tukio lolote lililotokea n.k.

6. Inasaidia kuzuia kutokea kwa majanga ya wizi,uhalifu au moto kabla ya kuwa mkubwa N.K
✴🔸️🔹️▫️🔹️🔸️▫️🔸️🔹️▫️🔹️🔸️▫️🔸️🔹️▫️🔸️✳

"Hii Ni ZAWADI yako na ni BONGE LA OFFER Kwako na familia yako na Biashaa yako

CHAGUA KIFURUSHI CHAKO HAPA CHA OFFER
=======================================
NB:GHARAMA HIZI NI BILA YA UFUNDI- Kazi ni maelewano na mteja sababu ya offer hii.
Idadi ya camera ni uchaguz wako mteja iwe 2 au 3 au 9 au 11 kutokana na eneo lako lilivyo.
((KUFANYA SURVEY NI BURE))

Kufunga CAMERA 4*
1️⃣:4CH Colored *Tsh 470,000* (4Ch DVR, HDD 1TB,Camera 4,Coaxial cable 100m, BNC 8,Power Pin 4,Power Supply)

2️⃣: 4CH ColorVu Tsh 510,000* (4Ch DVR, HDD 1TB,Camera 4, cable 100m, BNC 8,Power Pin 4, Power supply)

3️⃣4CH Audio Camera{DAHUA}(( Camera za sauti ,Picha na Rangi 24hrs)) sh 610,000(4Ch DVR, HDD 1TB,Camera 4, cable 100m, BNC 8,Power Pin 4, Power supply)

4️⃣ 4CH IP CAMERA Sh 850,000《DAHUA》& sh 950,000《HIKVISION》(4Ch NVR, HDD 1TB, CAT 6_100m,IP Camera 4,RJ45)

NB= IP CAMERA za ColorVu HIKVISION

🇹🇿

*Umbali wowote utakaokuwepo unaweza kuona matukio live yanayoendelea nyumban kwako au katika biashara zako...yote ni kwa...
15/06/2022

*Umbali wowote utakaokuwepo unaweza kuona matukio live yanayoendelea nyumban kwako au katika biashara zako...yote ni kwa sababu ya kufungiwa CCTV CAMERA Kutoka maishuu_electronics kwa gharama nafuu na kuungiwa na internet moja kwa moja.

Kikubwa zaidi wasiliana nasi leo tukusaidie ili uweze kufunga CCTV camera kusaidia ulinzi wa mazingira yako.

Tunafanya kazi mikoa yote Tanzania
0714 890 944
Kinyerezi mwisho
Dar es Salaam .Karibun sana.
...

.....
.


*Umbali wowote utakaokuwepo unaweza kuona matukio live yanayoendelea nyumban kwako au katika biashara zako...yote ni kwa...
15/06/2022

*Umbali wowote utakaokuwepo unaweza kuona matukio live yanayoendelea nyumban kwako au katika biashara zako...yote ni kwa sababu ya kufungiwa CCTV CAMERA Kutoka maishuu_electronics kwa gharama nafuu na kuungiwa na internet moja kwa moja.

Kikubwa zaidi wasiliana nasi leo tukusaidie ili uweze kufunga CCTV camera kusaidia ulinzi wa mazingira yako.

Tunafanya kazi mikoa yote Tanzania
0714 890 944
Kinyerezi mwisho
Dar es Salaam .Karibun sana.
...

.....
.


🇹🇿

15/06/2022

Weka ulinzi nyumban kwako kwa kufunga Electric fence kwa gharama nafuu sana kutoka kwetu.
Tunashkuru kwa wateja wetu tokea tunaanza kutoa huduma hizi hatujawahi kuwaangusha au kutuangusha... yote ni kwa sababu ya uaminifu utokao kwetu.
Wasiliana nasi kwa 0714 890 944
Kinyerezi mwisho
Dar es Salaam .
..

🇹🇿

*"Hata sijui eti kwanini unapata tabu kufungua GETI lako la nyumban kwa kutumia miguvu yote kusukuma geti lako, Na sijui...
31/05/2022

*"Hata sijui eti kwanini unapata tabu kufungua GETI lako la nyumban kwa kutumia miguvu yote kusukuma geti lako, Na sijui ni Kitu gani kinachokufanya ukae nje kwa muda mrefu kugonga geti au kupiga Honi za Gari lako eti unasubiri kufunguliwa geti ? Huoni k**a unaweza kuwakera majirani waliolala?

Au huoni kuwa unawez kuhatarisha usalama wako na wavamizi au vibaka hapo nje?? Unapofungua mlango wa gari ili ushuke ukafungue geti wakati mwengine ni hatari hasa nyakati za usiku.... Chukua tahadhari mapema.

Siku hizi mambo yamebadilika..tumia REMOTE control au Tumia Simu yako kufungua na kufunga geti lako la nyumban kwa urahisi na kwa usalama mkubwa sana.

Tuna offer KABAMBE SANA LEO Tukufungie Moto Gate la kawaida au SMART kwa gharama ndogo kupita kiasi.

Ni Maishuu electronics ndio Simba wa nchi kavu kwa sasa.

Tupigie/whatsap
0714 890 944 au 0768 401 161
Kinyerezi mwisho Dar es Salaam
Kazi mikoa yote ya Tanzania.
Karibun sana
.
🇹🇿

Hii ni Huduma ya "Alarm system" ambayo ina uwezo wa kugundua pitapita ya watu kwa muda ambao sio ruhusa au haitakiwi mtu...
31/05/2022

Hii ni Huduma ya "Alarm system" ambayo ina uwezo wa kugundua pitapita ya watu kwa muda ambao sio ruhusa au haitakiwi mtu kupita au kuingia kwa wakati huo... inaweza ikawa ni nyumba au office au duka lolote.

Na ikitokezea kuwa kuna ishara ya mtu kupita au kuingia eneo hilo basi mfumo utamtambua ikifuatiwa na "Alarm/mlio wa sauti/king'ora" yenye sauti kubwa huku mfumo ukitoa taarifa za papo kwa papo kwa mmiliki au muhusika kwa kupiga simu&sms moja kwa moja kwenye simu yake kwa kumtaarifu kuwa eneo lake lina uvamizi.

Hapo muhusika atachukua hatua za haraka ili kunusuru mali zake kuibiwa au kuepukana na uvamizi huo.

Vile vile mfumo huu unasaidia sana kwa majumbani kwa wanaovamia kupitia MADIRISHAN AU KWENYE MILANGO Basi mfumo huu ni mzuri au Kukiwa na Dalili Hatari za MOTO k**a vile kuanza kwa MOSHI basi huu mfumo pia unasaidia sana kutoa taarifa.

Karibuni kupata huduma bora na nzuri mfano wa hizi.

Shauriana nasi leo tukusaidie tukufungie mifumo mbalimbali ikiwemo CCTVCAMERA, Electric fence, Gate motor n.k

Tupo Kinyerz mwisho
Dar es Salaam
0714 890 944 au 0768 401 161 call/whatsapp

.


29/05/2022
Usichukulie kila jambo kuwa ni "Simple" na wala usijiaminishe kwa kila kitu kwani wewe huwezi kujua siri za KESHO au za ...
28/05/2022

Usichukulie kila jambo kuwa ni "Simple" na wala usijiaminishe kwa kila kitu kwani wewe huwezi kujua siri za KESHO au za kila sekunde inayofuata.

Muamini Mungu wako katika kila mchakato wa hatua za maisha yako,Umuombe na Umtegemee yeye tu. HATA KUOMBA AMANI NA USALAMA MUOMBE YEYE NA UCHUKUE TAHADHARI KWANZA WEWE MWENYEWE.

JE Utamuomba Mungu akulinde na Vibaka wa usiku huku umeacha milango wazi na kulala?? au Utafunga MILANGO kwanza halaf ukategemea maombi yako kwa Mungu wako??

*&*Jibu ni rahisi tu... funga mlango halaf muombe Mungu na vilevile ukihitaji usalama zaidi funga vifaa vinavyosaidia ulinzi k**a ELECTRIC FENCE, CCTV CAMERA, GATE MOTOR N.K *&*

(((Chukua Tahadhari mapema kabla ya madhara na majanga kukuta.)))

===Wasiliana na Maishuu_electronics kuomba ushauri zaidi au kupata huduma hizo leo kwa gharama nafuuuuu na offer kemkem.===

0714 890 944 au 0768 401 161
Kinyerezi Dar es Salaam .. . .

28/05/2022

Usichukulie kila jambo kuwa ni "Simple" na wala usijiaminishe kwa kila kitu kwani wewe huwezi kujua siri za KESHO au za kila sekunde inayofuata.

Muamini Mungu wako katika kila mchakato wa hatua za maisha yako,Umuombe na Umtegemee yeye tu. HATA KUOMBA AMANI NA USALAMA MUOMBE YEYE NA UCHUKUE TAHADHARI KWANZA WEWE MWENYEWE.

JE Utamuomba Mungu akulinde na Vibaka wa usiku huku umeacha milango wazi na kulala?? au Utafunga MILANGO kwanza halaf ukategemea maombi yako kwa Mungu wako??

*&*Jibu ni rahisi tu... funga milango halaf muombe Mungu na vilevile ukihitaji usalama zaidi funga vifaa vinavyosaidia ulinzi k**a ELECTRIC FENCE, CCTV CAMERA, GATE MOTOR N.K *&*

(((Chukua Tahadhari mapema kabla ya madhara na majanga kukuta.)))

===Wasiliana na Maishuu_electronics kuomba ushauri zaidi au kupata huduma hizo leo kwa gharama nafuuuuu na offer kemkem.===

0714 890 944 au 0768 401 161
Kinyerezi Dar es Salaam .. . .

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maishuu Business Ideas posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share