Geeryto Graphics

Geeryto Graphics  Your vision, brought to life! Specializing in impactful graphic design, from stunning logos to engaging social media visuals.
☎️+255745500846

This
23/06/2026

This

🎨 SI KILA LOGO INAFAA KWA KILA BIASHARA!Je, unajua kuna aina tofauti za logo, na kila aina imeundwa kulingana na malengo...
22/06/2026

🎨 SI KILA LOGO INAFAA KWA KILA BIASHARA!

Je, unajua kuna aina tofauti za logo, na kila aina imeundwa kulingana na malengo ya biashara?

✅ Wordmark – Inafaa kwa biashara zinazotaka jina lao litambulike haraka.
✅ Lettermark – Nzuri kwa kampuni zenye majina marefu.
✅ Icon/Symbol Logo – Inafaa kwa brand zinazotaka kutambulika kwa alama pekee.
✅ Combination Mark – Huchanganya jina na alama, chaguo bora kwa biashara nyingi.
✅ Emblem Logo – Inafaa kwa taasisi, shule, clubs na brands zinazotaka muonekano wa kifahari na rasmi.

Kabla ya kutengeneza logo, ni muhimu kuzingatia aina ya biashara yako, wateja unaowalenga na namna unavyotaka brand yako ikumbukwe.

💡 Unachanganyikiwa kuchagua logo inayofaa biashara yako? Nipo tayari kukushauri bila usumbufu na kukutengenezea logo ya kisasa, yenye nguvu na inayovutia wateja kwa bei nafuu na ndani ya muda mfupi.

📩 Nitumie DM au WhatsApp +255745500846 tuanze kuijenga brand yako kwa kiwango cha juu.

🦥Kuna hizi font ndefu ndefu (Tall Fonts/Condensed Fonts) huwa zinaleta vibe flani la kishua sana zikitumika vizuri. Laki...
22/06/2026

🦥Kuna hizi font ndefu ndefu (Tall Fonts/Condensed Fonts) huwa zinaleta vibe flani la kishua sana zikitumika vizuri. Lakini ukizizingua, design nzima inaweza kuonekana k**a imebanwa kwenye daladala ya Mbagala! 🤦‍♂️

📌Sasa, ni wapi hasa hizi font zinapiga ikulu? Hapa hapa:

1️⃣ Kwenye Vichwa vya Habari (Headers/Main Titles): K**a unataka mtu akifungua poster yako kitu cha kwanza kimtoe macho, tumia tall font kwenye lile neno kuu (mfano: SALE, NEW, au jina la event). Inafanya neno lionekane lina mamlaka!

2️⃣ Nafasi Ikiwa Ndogo (Limited Horizontal Space): Una maneno marefu lakini eneo la kushoto kwenda kulia ni pembamba? Tall fonts ndio mkombozi wako hapo. Zinaingia kiulaini bila kubana design yako.

3️⃣ Design za Kisasa & Streetwear (Fashion/Posters): K**a unatengeneza design za mavazi, cover za albamu, au zile poster za kijanja za Instagram, hizi font zinaleta ule muonekano wa ‘skuli ya sasa’ (modern and edgy vibe).

Onyo la Designer: Bro, marufuku kuzitumia hizi font kwenye maelezo marefu (body text). Mteja akianza kusoma paragraph yenye font ndefu, macho yatauma na ataishia kuondoka. Kwenye maelezo madogo madogo, baki tu na font zako za kawaida zinazosomeka kirahisi.

Wewe ushawahi kuzijaribu hizi font, au bado unakomalia Montserrat na Helvetica kila siku? 😉 Shusha comment hapo chini tuongee! 👇

21/06/2026

📚Part 3 and Thanks for watching

21/06/2026

📚PART TWO!! Please angalia Part 1 kwenye Video ilopita🙏

20/06/2026

📚Tujifunze kitu kidogo hapa

PART 2 On the way📌😅

✨ Label nzuri huifanya bidhaa ionekane ya thamani kabla hata ya kujaribiwa!Bidhaa yako inastahili muonekano unaovutia na...
13/06/2026

✨ Label nzuri huifanya bidhaa ionekane ya thamani kabla hata ya kujaribiwa!

Bidhaa yako inastahili muonekano unaovutia na unaouza. Tunatengeneza label designs za kisasa, zenye ubora wa hali ya juu na zinazolingana na brand yako, kwa biashara ndogo, za kati na kubwa.

📦 Hand Wash • Shampoo • Juice • Mafuta • Vyakula • Vipodozi • Kemikali na bidhaa nyingine nyingi.

+255745500846

Psalm 23🙏

📌LEBO NZURI HUUZA BIDHAA KABLA HATA MTEJA HAJASOMA MAELEZO YAKE!📌Muonekano wa bidhaa yako una mchango mkubwa katika kuvu...
12/06/2026

📌LEBO NZURI HUUZA BIDHAA KABLA HATA MTEJA HAJASOMA MAELEZO YAKE!

📌Muonekano wa bidhaa yako una mchango mkubwa katika kuvutia wateja. Label yenye ubora wa hali ya juu huifanya bidhaa yako ionekane ya kitaalamu, ya kuaminika na tofauti na washindani.

Ninatoa huduma za:
✅ Product Label Design
✅ Packaging Design
✅ Sticker Design

Haijalishi unauza sabuni, vipodozi, vinywaji, chakula au bidhaa nyingine yoyote, nitakusaidia kupata muonekano unaovutia soko lako.

📩 Wasiliana nami leo tuanze kuifanya brand yako ionekane bora zaidi.

+255745500846

🍓Its FURAHI DAY Dears, Karibu NikuFURAHISHE kwa kazi nzuri itayoongeza thamani kwenye biashara yako🍓Nimejipanga kukuhudu...
12/06/2026

🍓Its FURAHI DAY Dears, Karibu NikuFURAHISHE kwa kazi nzuri itayoongeza thamani kwenye biashara yako

🍓Nimejipanga kukuhudumia kwa Weledi wa hali ya juu nachojua ni kwamba HUTAJUTIA

🍓Niko hapa nakusubiria Inbox 📥 +255745500846 au bonyeza link kwenye bio yangu hapo shwaaa

Psalm 23🙏

09/06/2026

🎬Label Designing in is very easy and very fast aisee

+255745500846 Karibu Tujifunze pamoja!

Address

Dsm
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Geeryto Graphics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Geeryto Graphics:

Shortcuts

Share