13/07/2020
Zamu hii ni yako kijana, tumekwisha kutiwa nguvu na tuko more encouraged kutokana na yale ambayo Mungu amekuwa akitenda kupitia Maombi haya. Tafadhali tujumuike pamoja kuanzia tar 15 ya maezi huu ili tuseme na Baba kwa habari ya vijana wote wa kizazi Cha leo, yapo mengi yanatukabili k**a vijana ambayo hatuwezi bila Mungu kuingilia kati. Neema ipo, nguvu ipo na upako upo, njoo tuombe pamoja kokote uliko kupitia Facebook. Watumishi mbalimbali watasema nawe na kukuongoza katika maombi hayo na tunaamini hutobaki k**a ulivyokuwa.