Hub Afrika

Hub Afrika Hub Afrika is a Tanzanian owned Company that provides, energy and security products and
Hub Afrika

Unatafuta Kampuni ya kuajiri kwa ajili ya kukufungia umeme wa solar Nyumbani kwako? au Unahitaj sehemu Moja tu ya kuamin...
02/07/2026

Unatafuta Kampuni ya kuajiri kwa ajili ya kukufungia umeme wa solar Nyumbani kwako? au Unahitaj sehemu Moja tu ya kuaminika utakayoweza kununua vifaa mbalimbali vya umeme wa solar ?
Umeliona Hili tangazo
Karibu Tukuhudumie ,

Una Biashara , au Ni nyumbani au ni kwenye mradi wa kimaendeleo na unahitaji huduma ya umeme wa uhakika Kwa muda wote? B...
22/06/2026

Una Biashara , au Ni nyumbani au ni kwenye mradi wa kimaendeleo na unahitaji huduma ya umeme wa uhakika Kwa muda wote?
Basi Usihofu , Luku kukutika au umeme kukatwa kusikunyime kujitawala na matumizi ya umeme wakati wote.
Hub afrika Tunahusika na ufungajji wa mifumo imara ya umeme kwa majumbani kwenye maeneo ya biahsra mashambani na hata kwenye miradi mikubwa.
Tuna uzoefu wa kutosha kukupatia huduma itakayokufanya kujisikia kutosheka waakti wote.
Kwa mifumo yetu ya solar tunakupa uhakika wa umeme wa masaa 24 kulingana na Mahitaji yako. Pia tuna Uza vifaa mbalimbali vya solar k**a vile betri za solar , Inverters na vingine vingi.
Wasiliana nasi leo kwa huduma ya umeme wa sola au kwa ajili ya vifaa vya sola au tembelea duka letu lililopo Mnara wa mwenge Arusha

Unatafuta fundi  mzoezi atakayekufungua mifumo  imara ya nyumba yakowasiliana nasi leo tunpatikana Arusha , mnara wa mwe...
16/06/2026

Unatafuta fundi mzoezi atakayekufungua mifumo imara ya nyumba yako
wasiliana nasi leo
tunpatikana Arusha , mnara wa mwenge

09/06/2026

Address

Pangani Arusha
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hub Afrika posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hub Afrika:

Shortcuts

Share