26/01/2026
Hello guys! sisi ni BRILI'S Tech, tunatoa huduma ya service na new installation katika maeneo yafuatayo
CCTV cameras
Electric fensi
Video door phone
Automatic motor gates
Biometric attendance
LAN(internet)
Ofisi zetu ziko Arusha mjini lakini tunatoa huduma nchi nzima ya Tanzania. Kwa wale walioko Arusha mjini na maeneo jirani tunafanya site survey bure kabisa.
Kumbuka tukishawasiliana au kufanya survey na kukubaliana kazi, basi tutafanya kazi yako mpa itakapomalizika ndipo utakapolipa fedha kwaajili ya huduma.
wasiliana nasi kwa simu nambari
0789027620/0766810108
Karibuni sana.