Forex_Reality_Arusha.tz

Forex_Reality_Arusha.tz Smart forex investors
Exceptional and extraordinary minds
Services
♧FX EDUCATION PROVIDERS.
♧ACCOUNT MANAGEMENT CONTRACTS
Call/WhatsApp +255-625934471

● Kutumia knowledge ya currency Trading to trade Gold inaweza kukusaidia only 20% or below..Utofauti uko kwenye maeneo m...
23/07/2025

● Kutumia knowledge ya currency Trading to trade Gold inaweza kukusaidia only 20% or below..
Utofauti uko kwenye maeneo makuu Matatu (3)
1. The use of Candlestick Patterns; The difference ni k**a 80% hivi from currencies.
2. Risk Management; Katika Gold the Risk Key is "What do you do when you are wrong??"
3. Fundamentals; Hapa kuna direct effect vs indirect effect in currencies.
4. Psychology; It is based on volatility handling capacity.
Conclusion; Kwa nje ni k**a vinaendana but k**a ume-trade Gold utakuwa shuhuda wa a lot of surprises it brought to you that affected your performance.

We are back!! After a long holiday of 2yrs 😁Ilibidi turudi shule kuchukua Masters in Market Wisdom😎A lot have happened, ...
26/06/2025

We are back!! After a long holiday of 2yrs 😁
Ilibidi turudi shule kuchukua Masters in Market Wisdom😎
A lot have happened, glad to be here again....
Kwasasa tumesimama na kitu kimoja tu "Gold Trading"
K**a na wewe ni mmoja wa walio specialise in Gold Trading...Let's Journey together.

Still in Arusha, Location Njiro.

✍Am trying to talk to somebody whose trading capital is not sustainable! Ambae risking 1% ya mtaji wake endapo ataweka c...
02/08/2022

✍Am trying to talk to somebody whose trading capital is not sustainable! Ambae risking 1% ya mtaji wake endapo ataweka consideration of 100pips Stop Loss atajikuta haipati lot size ya kuitumia otherwise if brokers would be quoting up to NANO lot ndipo angeipata.

✍Most of upcoming traders whenever you ask them which type of traders are they going to be mostly answer "DAY TRADING TYPE" ambayo ni sahihi kabisa according to them though mostly wanajikuta SCALPERS, you better take this note;

✍Scalping is the most challenging way of trading followed by day trading as you get so much exposed to the high degree of emotional control while you are not fully used to market illusions and confusions; remember trading is about finding true opportunities and true opportunities aren't many out there;

✍Even in normal life, opportunities are seen not by physical eyes but your mind, whatever opportunity comes to your naked eyes everyone can see it, it's too late to consider it, unapokuwa scalper or day trader unatakiwa upate opportunities nyingi while they aren't too many out there so guess what! You end up taking fake opportunities (market illusions)

✍When you want to swing the challenge comes in is, your entry doesn't get an enough buffer area to breathe, S.L ukiiweka mbali kidogo tu tayari pips zaidi ya mia to which are not equivalent to your capital, I met a person back in days ambae na $200 yake ataamua tu kutoa buffer area hivyo hivyo, mwisho wa siku position inarun negative hata $100 anakwambia itarudi but ikitokea tu fake candlestick moja ikakaza mpaka inarudi ku-cool account haipo😎

✍Atakwambia you see imerudi kule kule so mchawi ni capital kubwa nisingepoteza hapa.
So what is the solution then kwa wewe wa small account but you want to swing, put this in your mind, to see an opportunity is half the process but knowing when to execute it, unahitaji subra ya hali ya juu to time ex*****on.

✍Not easy to time by looking at market structures, tumia Momentum of the price itakusogeza mahali.

✍Illusional opportunities wll only give you excitement (leo unafurahi kesho umerudisha sokoni wengine hata kesho haifiki jioni tu tayari) but true opportunities wll give you happiness.

✍Mgawanyo wa asilimia za Kimaarifa ni huu RISK MANAGEMENT 30%, STRATEGY 10% na PSYCHOLOGY 60% Ni tofauti na mgawanyo wa ...
15/07/2022

✍Mgawanyo wa asilimia za Kimaarifa ni huu RISK MANAGEMENT 30%, STRATEGY 10% na PSYCHOLOGY 60% Ni tofauti na mgawanyo wa trading operation ambao ni ENTRIES 30%, HOLDING 35% and EXIT 35%.

✍Si ktk trading pekee hii ni kwa maisha kiujumla "Kuingia kunawiana na kutoka" lkn pia "Kujua when to leave" kwenye jambo lolote lile la kiubinadamu ndio nguzo ya mafanikio kwa kuwa hakuna kisicho na two sides so kujua when to leave hufanya kuikwepa gharama ya negative side.

✍Ni rahisi kuona Fx training stuffs zikisisitiza zaidi "on how to find entries" wengi wakisema nimeona trading opportunity kinacho-sound ndani yake ni ameona entry point then ndio anaanza kutafutia wapi atatoka huku msisitizo wa kiufundi ndani yake ukipungua kwa kuona kazi kubwa ilikuwa kuiona hiyo entry

✍Jitahidi uelewe hapa patakuvusha mahali, entry ni k**a mlango tu wa opportunity, unapoingia ndani k**a hauna uhakika wa kwamba utakaa muda gani ndani ambako kuna confusions na illusions kuna mawili unaweza ukafia ndani kwa kushindwa kuuona mlango ili utoke au ukatokea dirishani.

✍Hakuna mfanyabiashara asiyewaza kwanza kwamba mzigo wake utatokaje baada ya yeye kwenda kuuchukua china na akajikuta tu amedandia meli ya kwenda china kisa inaenda china na ana hela ya kuchukulia mzigo.

✍K**a hauja trade unaweza usielewe sawasawa, lkn wengi wamejikuta 90% ya kilichowaua sokoni walipotakiwa kutoka kwa kufunga trades zao hawakutoka na wametoka ambapo hawatakiwi kutoka au wametolewa, lkn si kwamba walikuwa wanakosea on entries.

✍Asikudanganye mtu kuwa uta-control Emotions, wala wanaofanikiwa usifikiri wanasubiri mpaka Emotions zirise wapambane nazo, tunachofanya ni kuzuia milango ya emotions kurise, kila mtu ni bora at ground state but there's no guarantee akiwa ktk panic or excitement coz katika hali hizo mlango wa logic unakuwa hautumiki.

✍Opportunity siyo opportunity unless umeona utaingilia wapi utakaa muda gani hapo ulipoingia na utatokea wapi, shule ya kujua how long wll you hold and when to exit ni pana and sensitive na kuliko ulichoambiwa. K**a haujawahi kufika mahali ambapo kwa kushindwa kuona mazingira sahihi ya kuhold na kuExit you didn't take the trade licha ya kuona entry! Heheh All the best bro.

✍Katika nguzo tano za biashara hii nguzo mojawapo ni TIME, moja ya mazao ya TIME ni Timeframes na Price Momentum. There'...
05/07/2022

✍Katika nguzo tano za biashara hii nguzo mojawapo ni TIME, moja ya mazao ya TIME ni Timeframes na Price Momentum. There's no change in price value k**a muda utasimama, kinachoanza kuchange ni Time kabla ya price value.

✍Niligusia kidogo hili moja ya posts zilizopita na kusisitiza umuhimu wa kujifunza program maalumu ya TIME katika trading ikiambatana na program ya futurology, jiongeze kidogo kuziacha hizi levels za kimaarifa kwamba utaangalia tu Engulfing candle, doji or Pin Bar, kuna vitu vingine ni kipofu tu ambae hawezi kuona and Yet 90% of traders fail on trading.

✍Leo TIME nitaigusia ktk angle ya kisaikolojia and not Technically, waathirika zaidi wa hili ni rika la kati mostly wako vyuoni, ni rahisi traders wengi wasioona matunda, wakaona hasara waliyoipata ni pesa tu na si MUDA, nazungumzia matunda halisi binafsi achana na huku mtandaoni huku wote tunapata faida.

✍Katika maisha kuna kufeli kunakotoa lesson lkn kufeli kwingi ktk fx hakuna lessons ndani yake, unaweza kukataa lkn kawaulize kuunguza k**a iliwahi kuwa sababu ya kutrade vizuri, kuna mawili tu either waliunguza zaidi ya moja au walipounguza waka-quit, kuunguza ni kiwango cha mwisho cha ujinga ktk trading, kujifunza kwendesha gari siyo kuanguka nalo.
Ndio maana ukiziunguza sana unadevelop fear na sio lesson

✍Unapojengwa kwenye msingi wa gambling destination ni kufeli with no lessons in it, kuitoa account from $1000 to $10000 ndani ya siku kadhaa heheh! Haujasikia watu wamewin Jackpot gambling is not a lifestyle, umeshawahi jiuliza k**a hiyo itakuwa lifestyle ya mtu atakuwa anashindana na nani duniani hapa kwa ukwasi??

✍Wangapi walitrade account ya $100 ikafika $500 then the rest is history, wakabaki wanashangaa kabisa imekuwaje?? Wanasahu nyumba ilijengwa juu ya msingi gani, unapoteza pesa lkn zaidi unapoteza MUDA. There's no free lunch in this world, tofautisha strategies za brokers kutafuta commission na REAL trading, ile kwamba unaweza kudeposit $10 haimaanishi ndo capital unayopaswa kuanza nayo.

✍Umeambiwa kwenye boom lako utajifunza fx na utadeposit $50 mpaka umalize chuo utakuwa don unajua unachopoteza kid? unashindwa kujikimu, unapoteza pesa, hujifunzi forex na unapoteza MUDA.

✍Tour ya kukagua maendeleo ya wale wanaoendelea kukua katika Industry na kuimarisha panapo pungua, wengi wamekuwa wakipa...
30/06/2022

✍Tour ya kukagua maendeleo ya wale wanaoendelea kukua katika Industry na kuimarisha panapo pungua, wengi wamekuwa wakipata training but mwisho wao haueleweki F.R.T inahakikisha safari haiishi njiani.

✍Haina gharama yoyote kwa ambao mlikwishaianza safari na program mtakayoenda kuipata ni PRICE MOMENTUM. Tuwasiliane mapema unaeona itakufaa hii ili uanze baadhi ya vitu kabla ya tarehe husika.

✍Wapo ambao hampo kwenye hili jahazi tuwasiliane mapema hususani mnaotaka kujiimarisha kwenye (1)Analysis-Technical & Fundamental (2) Psychology.

✍Tuliopo Arusha tuwasiliane mapema kuweka ratiba sawa.

✍Nayo ni hii "Personal days" k**a ilivyoandikwa kwenye curriculum extended version, japo wengine huona neno zuri ni "vac...
24/06/2022

✍Nayo ni hii "Personal days" k**a ilivyoandikwa kwenye curriculum extended version, japo wengine huona neno zuri ni "vacation"....whatever! But all in all ni kumaanisha MAPUMZIKO.

✍Ni rahisi watu wa nje kuona unafanya kitu rahisi sana anapokuangalia ukitrade coz ni chini ya 2% tu ya nguvu ya mwili inayotumika, zaidi ya 98% ni kuumia kwa linkage ya ubongo na akili yako ktk kutrade.

✍Labda hujajua, ubongo kazi yake ni kupokea ELIMU na AKILI kazi yake ni kubadili Elimu kuwa maarifa, binadamu asiye na akili kabisa huyo kifupi ni kichaa lakini anaweza akawa na akili zisizofanya kazi😀 achana na hii "Aya"

✍Kutokana na kazi yetu kuwa na muundo wa namna hii huingia kwenye kundi maalumu la kazi zinazochosha kwa kiwango cha juu, wale traders active sokoni wataelewa vizuri hapa, tukifika November sometimes hutaki hata kuiangalia platform.

✍Wengi hawawi active the whole year lkn scenario hii wamekutana nayo, wengi wanapoanza kutrade wanauwasha moto fulani hivi hatari sana ambapo wanaanza na mistake namba moja ya kuwa SCALPER at the beginning of their trading journey.

✍Huyu kidume akiwa ana Scalp anachezeshwa shere anaweza kuanza asubuhi mpaka usiku yumo tu, ni mwendo wa kufikicha macho, ni kamlio tu ka "chaa" anapata anatabasamu next few trades zinarudi sokoni, anakimbiza tena akipata profit $18 anasema ngoja niongeze $2 tu iwe $20 kidume nilale sasa, akiingia tu anarudi $13 anapata hasira anaona tena bora $18 yake ileile akiingia anazidi kuserereka, anajikuta kabreakeven, MUULIZE akitoka hapo anajisikiaje!!

✍Anachoka maradufu ya aliyeenda shamba, curriculum extended version imejaribu ku-cover vitu vingi vya msaada, imesisitiza angalau uwe na miezi 3 ya kupumzika katika mwaka. Tunakuwa tuko under pressure ya mahitaji, mitaji midogo mahitaji makubwa lkn haiondoi uhalisia wa kinachotakiwa.

✍Anza hata kupumzika mara mbili kwa mwaka katikati na mwishoni mwa mwaka itakusaidia, ilikuwa ngumu lakini tulipojaribu tumeona faida yake baada ya kupumzika unaanza afresh.

✍Always remember faida kubwa ya hii biashara si pesa nyingi bali ni freedom of time, usiwe mtumwa, average ni chini ya masaa 3 kwa siku professionally. (Heheh na pesa nyingi sana pia ziko lkn hutegemea).

Nazidi kupokea maswali sensitive na technical kutokana na kilichopostiwa juzi na matokeo yake, kasi ya uelewa kwa watu i...
17/06/2022

Nazidi kupokea maswali sensitive na technical kutokana na kilichopostiwa juzi na matokeo yake, kasi ya uelewa kwa watu imekuwa kubwa, na hii ni kwa wale ambao waligoma kukata tamaa wanazidi kusogea, wale wa ingia toka wanabaki kuwa beginners wa kudumu.

Swali DM

Haya as a team mwali anaesubiriwa ni huyu.(USDJPY)Images H4 & H1For experts (price Momentum  Enclosed)The rest End produ...
15/06/2022

Haya as a team mwali anaesubiriwa ni huyu.
(USDJPY)

Images H4 & H1

For experts (price Momentum Enclosed)

The rest End product display (Reversal Rising wedge)

Mode of ex*****on (Aggressively)

Target (Not less 100 pre analysis, Not more 300 post analysis)

No disclaimer!!

✍Ni wiki ambayo tumeamua to give at our very best, as our previous post says kesho saa 18:00 tutakuwa tunaanza live webi...
11/06/2022

✍Ni wiki ambayo tumeamua to give at our very best, as our previous post says kesho saa 18:00 tutakuwa tunaanza live webinar ya kwanza kwa huu mwaka, k**a kinachopostiwa hapa umekiona ni potential mpaka kukuweka hapa usikose live webinar "kuongea hakufanani na kuandika"

✍Chukua link mapema.
Tunashkuru kuona watu wanaelewa sasa, mwanzoni ilikuwa tabu kidogo mtu alikuwa anasoma posts k**a "story" mpaka pale watu walipoanza kuona si tu dhima ya post nzima bali sentensi kadhaa zinaweza kusimama k**a independent lessons.

✍Usichoke kurudiarudia kusoma, na usiyaache hapa go and make them yours (back to the post) kuna sentence kwenye post iliyopita ilisema "kabla ya kuyajua mazingira yanayotoa "entries" unatakiwa ujue kwanza mazingira yasiyotoa "entries" na sentence nyingine iliandikwa "Market is there to confuse us, and here we're to turn its illusions & confusions into opportunities"

✍Ilibidi wadau kadhaa tufanye zoom meeting kuhusu hili nimeona nilete na hapa kuongezea nyama faida kwa wengine pia, heheh! Shule ya biashara hii huanzia pale traders wengi walipoishia kujua, "kwenye forex kuna order inaitwa Stop Loss, ni muhimu kuitumia kwa ajili ya Risk Management usipate hasara ambayo hukuipanga" hii sentence siyo shule bali ni "taarifa"

✍Shule inaanzia wapi eneo sahihi la kuweka Stop Loss isiguswe haraka na wakati huohuo T.P isichelewe kufikiwa, watu wengi shida siyo entries, wengi wakipiga simu utasikia "S.L imeguswa then price imerudi kuelekea kulekule nilikokuwa nimelenga" heheh entries kuwa sahihi, kuonekana sahihi, wakati wa kuonekana na mazingira ya kuonekana sahihi ni vitu tofauti.

✍If we turn Illusions & confusions into opportunities, kabla ya kuelewa opportunities elewa kwanza Illusions & confusions, "ili uione fursa ni lazima ulione kwanza tatizo" msingi wa kuelewa mazingira ni MUDA, ukichukua picha ya mazingira ya Dar usiku ni tofauti na ya mchana. "Timing entries" ulishawahi jiuliza imetoka wapi na tuna-time nini?

✍Ulishakutana na haya, ume-buy, ume-sell uka-buy tena, uka-sell tena pair ni hiyohiyo mpaka unajicheka mwenyewe kuwa sasa nafanya nini, ushawahi ku-sell/buy then ukasema no no nimekosea uka-close hapohapo.......
Tutaendelea......

✍Tumekuwa tukielekezana mambo kadhaa hapa ya kutusaidia kufanya yale yanayotakiwa na kupunguza k**a sio kuacha kabisa ku...
09/06/2022

✍Tumekuwa tukielekezana mambo kadhaa hapa ya kutusaidia kufanya yale yanayotakiwa na kupunguza k**a sio kuacha kabisa ku-deal na useless things when it comes to trading.

✍Twende tukaangalie baadhi ya vitu practically katika webinar hii ambayo ni webinar ya kwanza kwa mwaka huu, wale wote ambao tuko nao hapa kwa miaka kadhaa wanaelewa kuwa tulikuwa na utaratibu pia wa kufanya webinars

✍Zilikuwa zikiuliziwa sana, ratiba ilikuwa hairuhusu lakini angalau kwa hii nusu ya mwisho ya mwaka kwa Neema yake Mungu kutujalia uhai basi webinars zitarudi, ngoja tuanzie hapa kwenye Analysis.

✍Chukua link mapema then tunane J.pili jioni.

✍Kabla ya ku-retire ku-train nilifanya kwa miaka mitano, kule kutrain realistically ambako kulikuwa kunafanya kilo zipun...
04/06/2022

✍Kabla ya ku-retire ku-train nilifanya kwa miaka mitano, kule kutrain realistically ambako kulikuwa kunafanya kilo zipungue mwilin day after day, kuna kumfundisha mtu na kuna kumfahamisha mtu makorokoro ya fx😀

✍Nilipata experience kubwa, wengine wakaachia njiani wengine wakafika nusu, wengine shule iligoma, wengine walirusha taulo mwishoni kabisa, kuna mahali walizingua kuna mahali namimi nilizingua😀

✍Kinyozi lazima kuna kichwa ataanzia kukinyoa hawezi kujifunzia kwenye kichwa cha ng'ombe hivyo niliemfundisha mwaka wa kwanza nilimpunja kuliko niliemfundisha mwaka wa tano, bt we good na tunasawazisha palipopwaya.

✍Moja ya changamoto kubwa ilikuwa ni utofauti wa mifumo ya Elimu, mfumo wa Elimu ya fx ni tofauti kidogo na mfumo tuliojengwa nao kwenye jamii, mtu asipojua kuswitch ni ngumu kufanikiwa kuelewa huku, tuko kwenye mfumo wa kusoma ili kujibia mtihani wakati huku inatakiwa kusoma na kufanyia practical.

✍Ni transition ngumu kidogo, kuna wale ambao tulipokuwa chuo tukimaliza semester hujapata Sup, au hauja-carry tunawasha kiberiti zile nondo za course iliyoisha na hutuambii kitu, tunasubiri course nyingine😎 mtihani ilikuwa ni destiny.

✍Hivyo kumfundisha mtu forex ilikuwa ngumu coz yeye ataipeleka akili kukrem support & resistance zinavyotokea na sio kuelewa kilichoko nyuma yake ili zitokee, unaweza ukaichukulia hii sentence kiwepesi twende hapa;

✍Kabla ya kujua mazingira ya entries kutokea unatakiwa kujua kwanza mazingira ya entries kuto kutokea😁 twende polepole, "don't trade to win but trade not to lose" Trading is a battle, market is there to show you its illusions and confusions;

✍You are the one to turn those illusions & confusions into opportunities so msingi wa opportunities ni illusions na confusions, heheh k**a bado skip😁, tuna Timeframes 9 kwenye Mt4/5 kagoogle why there are multiple Timeframes utasogea mahali.

✍Price ni number siyo candlesticks kabla ya kuziona candlesticks inatakiwa uone (TIME & DISTANCE) na hapa palileta wakati mgumu sana mtu alidhani akipostiwa mascreenshot mengi ya charts kwamba price itatoka hapa mpaka pale ndio ataelewa cha kwenda kufanya;

......part B.

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Forex_Reality_Arusha.tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Forex_Reality_Arusha.tz:

Share