Benson & Company

Benson & Company Benson & Company has been a pioneer in the consumer electronics field for over three decades.

What began as a technical centre has now grown into a powerhouse in the electronics and household appliances arena spanning over eight stores in Arusha.

Ulikosa Apple Event? ๐ŸŽ Hii hapa recap ya kila kitu kikubwa kilicholetwa.๐Ÿ“ฑ iPhone 18 Pro & Pro Max zimekuja na camera sys...
10/09/2026

Ulikosa Apple Event? ๐ŸŽ Hii hapa recap ya kila kitu kikubwa kilicholetwa.

๐Ÿ“ฑ iPhone 18 Pro & Pro Max zimekuja na camera system mpya, performance na battery iliyoboreshwa, pamoja na colours mpya.

๐Ÿ“– iPhone Duo ndiyo foldable iPhone ya kwanza kutoka Apple. Ukiifunga ni compact, ukiifungua unapata display kubwa kwa content, gaming na multitasking.

๐Ÿค– Siri AI + Apple Intelligence zimepewa upgrade kubwa, Siri sasa inaweza kutumia personal context kukusaidia zaidi kwenye iPhone.

โŒš Apple Watch Series 12 imekuja na 7 finishes: Dark Bronze, Black, Light Gold na Space Gray aluminium, Radiant Gold na Natural Titanium, pamoja na Pearl White na Night Blue ceramic.

๐Ÿ”๏ธ Apple Watch Ultra 4 inakuja katika Natural na Black Titanium.

โค๏ธ Apple pia wametambulisha Health Sensing System mpya, pamoja na Readiness, inayotumia activity, overnight vitals, training load na sleep score kukupa picha ya jinsi mwili wako ulivyo tayari kwa siku.

๐Ÿ‘‚ Pia kuna Audio Intelligence, ikiwa na features k**a Live Rewind na Siri Recap.

Kuna mengi zaidi ndani ya carousel. Swipe kuona kila kilichotambulishwa ๐Ÿ‘‰

Sasa swali ni moja tuโ€ฆ ni kipi unataka kuona Benson & Company kwanza?

Unatafuta AC kwa chumba kikubwa? AC zetu za 18,000 BTU zipo kwa bei nzuri sana.Chagua Hisense, Airlux au Westpoint, kuan...
08/09/2026

Unatafuta AC kwa chumba kikubwa? AC zetu za 18,000 BTU zipo kwa bei nzuri sana.

Chagua Hisense, Airlux au Westpoint, kuanzia TZS 1,269,000 incl. VAT.

Pia unapata:
โœ… Installation BURE {vigezo na masharti kuzingatiwa}
โœ… Bracket BURE
โœ… AVS BURE
๐Ÿšš Delivery BURE Arusha

Usisubiri joto likukute. Pata AC yako sasa!

๐Ÿ“ Sokoine Road, Arusha
๐Ÿ“ž +255 626 000 999

๐Ÿ“ TFA Shopping Center, Arusha
๐Ÿ“ž +255 621 744 744

08/09/2026

๐Ÿ“ฆ Unboxing the new Google Pixel 11!

Fresh out of the box. Clean design, powerful performance and the latest Pixel experience from Google. ๐Ÿ“ฑโœจ

Now available at Benson & Company.

๐Ÿ“ Sokoine Road, Arusha
๐Ÿ“ž +255 626 000 999

๐Ÿ“ TFA Shopping Center, Arusha
๐Ÿ“ž +255 621 744 744

โ˜€๏ธ BEAT THE HEAT! โ„๏ธJoto linakuja! Jiandae mapema na Hisense 9,000 BTU AC kwa bei nafuu kabisa๐Ÿ”ฅ Kuanzia TZS 909,000 incl...
04/09/2026

โ˜€๏ธ BEAT THE HEAT! โ„๏ธ

Joto linakuja! Jiandae mapema na Hisense 9,000 BTU AC kwa bei nafuu kabisa

๐Ÿ”ฅ Kuanzia TZS 909,000 incl. VAT

Na unapata BURE:
โœ… Installation (ndani ya delivery free zones)
โœ… Bracket
โœ… AVS
๐Ÿšš Free Delivery Arusha-wide

Original. Genuine Warranty. Trusted Support.

Usisubiri joto likukute. Pata AC yako sasa!

๐Ÿ“ Sokoine Road, Arusha
๐Ÿ“ž +255 626 000 999

๐Ÿ“ TFA Shopping Center, Arusha
๐Ÿ“ž +255 621 744 744

โ˜€๏ธ BEAT THE HEAT! โ„๏ธBaridi inaisha, joto linakuja! ๐Ÿ”ฅJiandae mapema na AC, feni na air coolers kwa bei kali sana!Kwa AC u...
03/09/2026

โ˜€๏ธ BEAT THE HEAT! โ„๏ธ

Baridi inaisha, joto linakuja! ๐Ÿ”ฅ
Jiandae mapema na AC, feni na air coolers kwa bei kali sana!

Kwa AC unapata:
โœ… FREE Installation
โœ… FREE Accessories
โœ… FREE Delivery kwenye maeneo husika*

Usisubiri joto likukute. Jinunulie yako leo!

๐Ÿ“ Sokoine Road, Arusha
๐Ÿ“ž +255 626 000 999

๐Ÿ“ TFA Shopping Center, Arusha
๐Ÿ“ž +255 621 744 744



----

The cold season is ending and the Arusha heat is coming! ๐Ÿ”ฅ
Get ready early with crazy prices on ACs, fans and air coolers!

With our ACs, you get:
โœ… FREE Installation
โœ… FREE Accessories
โœ… FREE Delivery within selected zones*

Donโ€™t wait for the heat. Get yours today!

๐Ÿ“ Sokoine Road, Arusha
๐Ÿ“ž +255 626 000 999

๐Ÿ“ TFA Shopping Center, Arusha
๐Ÿ“ž +255 621 744 744

31/08/2026

๐Ÿ”Š Furahia sauti halisi na Samsung Soundbars.

Boresha burudani yako nyumbani kwa sauti safi na yenye nguvu, iwe ni filamu, muziki, mpira au gaming. ๐ŸŽฌ๐ŸŽฎโšฝ

Chagua inayokufaa:
โ€ข 3.1.2CH โ€“ TZS 1,099,000
โ€ข 5.1CH โ€“ TZS 1,099,000
โ€ข 5.1.2CH โ€“ TZS 1,699,000
โ€ข 11.1.4CH โ€“ TZS 3,399,000
Bei zinajumuisha VAT.

๐Ÿ“ Benson Retail: TFA Shopping Center & Sokoine Road, Arusha
๐Ÿ“ž TFA: +255 754 444 777
๐Ÿ“ž Sokoine: +255 784 444 777



๐Ÿ”Š Enjoy proper sound with Samsung Soundbars.

Upgrade your TV experience with powerful, clear sound for movies, music, sports and more.

Choose your setup:
โ€ข 3.1.2CH โ€“ TZS 1,099,000
โ€ข 5.1CH โ€“ TZS 1,099,000
โ€ข 5.1.2CH โ€“ TZS 1,699,000
โ€ข 11.1.4CH โ€“ TZS 3,399,000
Prices include VAT.

๐Ÿ“ Benson Retail: TFA Shopping Center & Sokoine Road, Arusha
๐Ÿ“ž TFA: +255 754 444 777
๐Ÿ“ž Sokoine: +255 784 444 777



๐Ÿ”Š Furahia proper sound na Samsung Soundbars.

Boresha burudani yako nyumbani kwa sauti safi na yenye nguvu, iwe ni filamu, muziki, mpira au gaming. ๐ŸŽฌ๐ŸŽฎโšฝ

Chagua inayokufaa:
โ€ข 3.1.2CH โ€“ TZS 1,099,000
โ€ข 5.1CH โ€“ TZS 1,099,000
โ€ข 5.1.2CH โ€“ TZS 1,699,000
โ€ข 11.1.4CH โ€“ TZS 3,399,000
Bei zinajumuisha VAT.

๐Ÿ“ Benson Retail: TFA Shopping Center & Sokoine Road, Arusha
๐Ÿ“ž TFA: +255 754 444 777
๐Ÿ“ž Sokoine: +255 784 444 777



๐Ÿ”Š Enjoy proper sound with Samsung Soundbars.

Upgrade your TV experience with powerful, clear sound for movies, music, sports and more.

Choose your setup:
โ€ข 3.1.2CH โ€“ TZS 1,099,000
โ€ข 5.1CH โ€“ TZS 1,099,000
โ€ข 5.1.2CH โ€“ TZS 1,699,000
โ€ข 11.1.4CH โ€“ TZS 3,399,000
Prices include VAT.

๐Ÿ“ Benson Retail: TFA Shopping Center & Sokoine Road, Arusha
๐Ÿ“ž TFA: +255 754 444 777
๐Ÿ“ž Sokoine: +255 784 444 777

29/08/2026

Ingia kwenye ulimwengu wa Virtual Reality na Meta Quest 3S! ๐ŸŽฎ๐Ÿฅฝ

Cheza games, angalia movies, tumia apps na enjoy VR experience kwa njia mpya kabisa.

โœจ 128GB Storage
โœจ 8GB RAM
โœจ Touch Plus Controllers
โœจ Wireless VR experience

๐Ÿ“ TFA Shopping Center, Arusha
๐Ÿ“ž +255 621 744 744

๐Ÿ“ Sokoine Road, Arusha
๐Ÿ“ž +255 626 000 999

๐Ÿšš Free Delivery Arusha
โœ… Original | Warranty

Enjoy ulimwengu wa Virtual Reality na Meta Quest 3S!Cheza games, angalia movies, tumia apps na enjoy VR experience kwa n...
28/08/2026

Enjoy ulimwengu wa Virtual Reality na Meta Quest 3S!

Cheza games, angalia movies, tumia apps na enjoy VR experience kwa njia mpya kabisa.

โœจ 128GB Storage
โœจ 8GB RAM
โœจ Touch Plus Controllers
โœจ Wireless VR experience

๐Ÿ“ TFA Shopping Center, Arusha
๐Ÿ“ž +255 621 744 744

๐Ÿ“ Sokoine Road, Arusha
๐Ÿ“ž +255 626 000 999

๐Ÿšš Free Delivery Arusha
โœ… Original | Warranty

BIG DEAL la Camera  zimefika! ๐Ÿ“ธ๐Ÿ”ฅKwa wapenda photography, video na content creation, chagua camera inayokufaa:๐Ÿ“ธ Canon EOS...
27/08/2026

BIG DEAL la Camera zimefika! ๐Ÿ“ธ๐Ÿ”ฅ

Kwa wapenda photography, video na content creation, chagua camera inayokufaa:

๐Ÿ“ธ Canon EOS M50 โ€” TZS 2,129,000
๐Ÿ“ธ Nikon Z50 โ€” TZS 2,939,000
๐Ÿ“ธ Nikon Z5 โ€” TZS 4,699,000

๐ŸŽ Kila camera unapata Saramonic Vmic Mini BURE!

โœ… Original
โœ… Warranty
๐Ÿšš Free Delivery Arusha

๐Ÿ“ TFA Shopping Center, Arusha
๐Ÿ“ž +255 621 744 744

๐Ÿ“ Sokoine Road, Arusha
๐Ÿ“ž +255 626 000 999

BIG DEAL la OnePlus Smart Phones.Chagua OnePlus inayokufaa, kuanzia TZS 999,000. OnePlus Nord CE4 Lite, OnePlus Ace, One...
26/08/2026

BIG DEAL la OnePlus Smart Phones.

Chagua OnePlus inayokufaa, kuanzia TZS 999,000. OnePlus Nord CE4 Lite, OnePlus Ace, OnePlus 13 hadi OnePlus Open foldable.

โœ… Warranty
๐Ÿšš Free Delivery Arusha

๐Ÿ“ TFA Shopping Centre, Arusha
๐Ÿ“ž +255 621 744 744

๐Ÿ“ Sokoine Road, Arusha
๐Ÿ“ž +255 626 000 999

Stock ni limited. Pata yako leo!

Address

Sokoine Road And TFA Complex
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00
Sunday 11:00 - 20:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Benson & Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Benson & Company:

Shortcuts

Share

Category