Sound & Vision Ltd

Sound & Vision Ltd Laptops • Desktops • Printers • Scanners • Peripherals
Trusted Tech Store | 📍Sokoine & TFA | | Live IT

Arusha's most popular computer and laptop store! We sell the top brands at the best prices in Arusha.

Heri ya Nane Nane 🌾Tunawatakia wakulima, wafugaji na Watanzania wote siku njema ya Nane Nane. Asanteni kwa kazi yenu kub...
08/08/2026

Heri ya Nane Nane 🌾
Tunawatakia wakulima, wafugaji na Watanzania wote siku njema ya Nane Nane. Asanteni kwa kazi yenu kubwa inayochangia maendeleo ya taifa letu.

TFA Complex: +255 759 750 720
Sokoine Road: +255 767 872 537
Email: [email protected]

ZKTeco MB360 ni Time & Attendance Terminal yenye Inbuilt Battery na WiFi, inayofaa kwa usimamizi wa mahudhurio ya wafany...
07/08/2026

ZKTeco MB360 ni Time & Attendance Terminal yenye Inbuilt Battery na WiFi, inayofaa kwa usimamizi wa mahudhurio ya wafanyakazi.

SPECIAL PRICE: Tshs 699,000 (VAT incl.)

TFA Complex: +255 759 750 720
Sokoine Road: +255 767 872 537
[email protected]

EPSON EB-982W 3LCD PROJECTOR ni projector yenye utendaji wa hali ya juu kwa matumizi ya ofisini, mikutano, madarasa na p...
05/08/2026

EPSON EB-982W 3LCD PROJECTOR ni projector yenye utendaji wa hali ya juu kwa matumizi ya ofisini, mikutano, madarasa na presentation mbalimbali. Ikiwa na teknolojia ya 3LCD, inatoa mwanga mzuri, rangi halisi na picha zenye ubora wa juu kwa uzoefu bora wa kutazama. Ni chaguo bora kwa mazingira ya biashara na elimu yanayohitaji uwazi na ufanisi.

TZS 2,199,000 VAT Incl.
1 Year Warranty

TFA Complex: +255 759 750 720
Sokoine Road: +255 767 872 537
[email protected]

HP 14 Laptop ni laptop nyepesi na yenye utendaji wa kuaminika kwa matumizi ya kila siku, kazi za ofisini na burudani. In...
03/08/2026

HP 14 Laptop ni laptop nyepesi na yenye utendaji wa kuaminika kwa matumizi ya kila siku, kazi za ofisini na burudani. Ina AMD Athlon Silver 7120U processor, AMD Radeon Graphics, 14’’ FHD Display, 4GB RAM, na 256GB SSD, ikitoa kasi nzuri ya kuendesha programu na uhifadhi wa mafaili kwa ufanisi.

TZS 1,099,000 VAT Incl.

TFA Complex: +255 759 750 720
Sokoine Road: +255 767 872 537
[email protected]

CHAGUA WIWU LAPTOP BAGS & SLEEVESLinda laptop yako kwa mtindo na ubora kupitia WIWU laptop sleeves, bags na backpacks. Z...
31/07/2026

CHAGUA WIWU LAPTOP BAGS & SLEEVES

Linda laptop yako kwa mtindo na ubora kupitia WIWU laptop sleeves, bags na backpacks. Zimetengenezwa kwa ustadi ili kutoa ulinzi, urahisi wa kubeba na muonekano wa kisasa kwa matumizi ya kila siku.

🧳 Aina Zinazopatikana:
•⁠ ⁠Minimalist Sleeve (14" Black & Grey)
•⁠ ⁠Pilot Sleeve (13", 14", 15.6")
•⁠ ⁠Genius Combo Set (15.6")
•⁠ ⁠Ora Tote (14" Grey)
•⁠ ⁠Master Pro Backpack

📞 Wasiliana nasi kwa bei bora!

TFA Complex: +255 759 750 720
Sokoine Road: +255 767 872 537
[email protected]

HP Laptop 15-fd0662niav ni laptop yenye nguvu na utendaji wa kisasa kwa kazi za ofisini, masomo, biashara na matumizi ya...
29/07/2026

HP Laptop 15-fd0662niav ni laptop yenye nguvu na utendaji wa kisasa kwa kazi za ofisini, masomo, biashara na matumizi ya kila siku. Ina Intel Core 5-120U processor, 8GB DDR5 5200MHz RAM, 512GB PCIe NVMe M.2 SSD, na 15.6" Full HD Display, ikitoa kasi ya juu, uhifadhi mkubwa na mwonekano bora. Pia inakuja na Wi-Fi 6, Bluetooth® 5.4, pamoja na FREE Laptop Bag + Wireless Mouse.

TZS 1,899,000 VAT Incl.
1 Year Warranty

TFA Complex: +255 759 750 720
Sokoine Road: +255 767 872 537
[email protected]

CHAGUA MICROSOFT SURFACE PRO 12 X PLUS YAKOFanya kazi kwa ufanisi ukitumia Microsoft Surface Pro 12 X Plus yenye Snapdra...
27/07/2026

CHAGUA MICROSOFT SURFACE PRO 12 X PLUS YAKO
Fanya kazi kwa ufanisi ukitumia Microsoft Surface Pro 12 X Plus yenye Snapdragon®️ X Plus, 16GB RAM, 512GB SSD na skrini ya mguso ya 12", kwa utendaji wa kasi na matumizi rahisi.

Surface Pro 12 X Plus – TZS 3,999,000 VAT Incl. (Dhamana ya Mwaka 1)

Surface Pro 12 Keyboard + Pen – TZS 1,099,000 VAT Incl. (Dhamana ya Mwaka 1)

📞 Wasiliana nasi kupata bei nzuri zaidi!

TFA Complex: +255 759 750 720
Sokoine Road: +255 767 872 537
Email: [email protected]

LENOVO V105Q TINY DESKTOP – Ndogo kwa Ukubwa, Kubwa kwa Utendaji! 🖥️Pata utendaji wa kuaminika kwa ofisi, biashara na ma...
24/07/2026

LENOVO V105Q TINY DESKTOP – Ndogo kwa Ukubwa, Kubwa kwa Utendaji! 🖥️

Pata utendaji wa kuaminika kwa ofisi, biashara na matumizi ya kila siku ukiwa na Lenovo V105Q Tiny Desktop yenye AMD Ryzen 5 Processor na SSD ya kasi kwa kazi zako zote muhimu.

Option 1
✅ Ryzen 5 Processor
✅ 16GB RAM | 512GB SSD
✅ 3 Years Warranty
TZS 2,099,000 VAT Incl.

Option 2
✅ Ryzen 5 Processor
✅ 8GB RAM | 512GB SSD
✅ 3 Years Warranty
TZS 1,699,000 VAT Incl.

TFA Complex: +255 759 750 720
Sokoine Road: +255 767 872 537
[email protected]

Ryzen

HP 15 FC1002NQ ni laptop bora kwa kazi za kila siku, masomo, biashara na matumizi ya nyumbani. Ina AMD Ryzen™ 3 7320U Pr...
22/07/2026

HP 15 FC1002NQ ni laptop bora kwa kazi za kila siku, masomo, biashara na matumizi ya nyumbani. Ina AMD Ryzen™ 3 7320U Processor, 8GB RAM, 512GB SSD, na 15.6" Full HD Display, ikikupa kasi nzuri ya kufanya kazi, uhifadhi wa kutosha na mwonekano ulio wazi kwa matumizi ya kila siku.

SPECIAL PRICE

TZS 1,399,000 VAT Incl.
1 Year Warranty

TFA Complex: +255 759 750 720
Sokoine Road: +255 767 872 537
[email protected]

Lenovo PS6S Portable SSD ni kifaa cha uhifadhi wa data chenye kasi ya juu, salama na rahisi kubeba. Hifadhi mafaili yako...
20/07/2026

Lenovo PS6S Portable SSD ni kifaa cha uhifadhi wa data chenye kasi ya juu, salama na rahisi kubeba. Hifadhi mafaili yako muhimu kwa ufanisi na uhakika wa utendaji.

TZS 499,000 VAT Incl.
1 Year Warranty

TFA Complex: +255 759 750 720
Sokoine Road: +255 767 872 537
[email protected]

Address

Sokoine Street
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sound & Vision Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sound & Vision Ltd:

Shortcuts

Share

Category