12/06/2026
Karibu Pass Electronics and General Supplies. Kwa kipindi hiki watoto au vijana and akiwa likizo, tunatoa ofa yaafunzo ya umeme wa nyumbani kwa gharama nafuu. mafunzo yatachukua wiki mbili. pekee. Tutawafunza kwa vitendo mambo muhimu kuhusub umeme wa majumbani.
Mwanao atajua yafuatayo..
1. Aina za vifaa muhimu vya umeme na matumizi yake.
2. Aina za umeme (AC na. DC)
3. Namna ya kuunganisha taa kwa dc na ac..
4. Namna ya Kufunga switch na socket.
5. Namna ya kujirimnda na umeme
6. Namna ya kutafuta shoti na kuiondoa. nk.
Tupo Arusha mjini, Fire.
call 0624006075