BMI GROUP

BMI GROUP BMI GROUP is a Technology company that is committed to provide best ICT services both hardware based and software based in cheap and affordable price.

Fanya Biashara yako kuwa special kwa kutumia Emails zenye jina la biashara au kampuni yako.Vifurushi vyetu vinakupa emai...
21/07/2025

Fanya Biashara yako kuwa special kwa kutumia Emails zenye jina la biashara au kampuni yako.

Vifurushi vyetu vinakupa emails zenye ujazo wa kutosha(storage) pamoja na ulinzi thabiti.

Kuwa huru na wa kipekee kwa kutumia huduma bora kutoka Mails Tanzania.

Tupigie/whatsapp: +255 752 560 353
Tutumie Email: [email protected]

Pata Emails zenye Jina la Biashara au Kampuni yako na uipe Utambulisho Kamili Kampuni au biashara yako. Emails zetu zina...
06/05/2025

Pata Emails zenye Jina la Biashara au Kampuni yako na uipe Utambulisho Kamili Kampuni au biashara yako. Emails zetu zinazidisha uaminifu kwa wateja wako pamoja na kuzidi kutangaza biashara yako.

Mfano:
Badala ya : [email protected]
Tumia : [email protected] au .com

Kwanini Kampuni Yako Itumie Barua Pepe Zenye Jina La Kampuni/Biashara Yako?

⭐ Utaalamu na uaminifu
Barua pepe zinazotumia jina la biashara au kampuni huonyesha kuwa biashara hiyo ni rasmi na inaendeshwa kwa utaalamu. Hii huongeza uaminifu kwa wateja na washirika wa biashara.
Inawafanya wateja kuwa na imani na biashara yako.

⭐ Utangazaji wa biashara
Kila barua pepe inayotumwa ni fursa ya kutangaza jina la biashara. Hii husaidia kuimarisha utambulisho wa biashara na kuongeza ufahamu wa wateja.

⭐ Usimamizi bora wa mawasiliano
Barua pepe za biashara hurahisisha kupanga na kusimamia mawasiliano ya biashara. Hii ni muhimu hasa kwa biashara zenye wafanyakazi wengi.

⭐ Ulinzi wa taarifa
Huduma nyingi za barua pepe za biashara hutoa vipengele vya usalama vya hali ya juu, kulinda taarifa nyeti za biashara dhidi ya vitisho mbalimbali mtandaoni.

⭐ Kujenga chapa (Brand)
Barua pepe za biashara husaidia kujenga chapa ya biashara yako. Kila barua pepe inakuwa k**a tangazo la biashara yako.
Kwa ujumla, barua pepe za biashara ni zana muhimu kwa biashara yoyote inayotaka kuimarisha utambulisho wake, kujenga uaminifu, na kuboresha mawasiliano yake.

Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi.
WhatsApp: +255 752 560 353
Email: [email protected]

This Easter, Invest in Professional Communication with Mails Tanzania's Discounted Email Packages.Project a professional...
18/04/2025

This Easter, Invest in Professional Communication with Mails Tanzania's Discounted Email Packages.

Project a professional image and streamline your business communication with Mails Tanzania's fast, secure, and reliable email services, now available at unbeatable discounted prices for a limited time this Easter.

Elevate your team's productivity and ensure seamless communication with our premium email solutions, all while enjoying exceptional value.

Don't miss this opportunity to enhance your business's professionalism. Reach out to us today to explore our unbeatable Easter offers:

[email protected]
0752560353

NB: This offer is valid until April 30th, 2025.

On this solemn Good Friday, may you find moments for quiet reflection, peace, and enduring hope.We wish you and your lov...
18/04/2025

On this solemn Good Friday, may you find moments for quiet reflection, peace, and enduring hope.

We wish you and your loved ones a blessed Easter weekend filled with renewal and the promise of brighter days.

May it bring renewal and brighter days ahead for you and yours.

Happy weekend!

Get ready for incredible savings this Easter! Mails Tanzania is offering unbeatable discounted prices on our professiona...
17/04/2025

Get ready for incredible savings this Easter! Mails Tanzania is offering unbeatable discounted prices on our professional email packages. Now is the perfect time to transform your business communication with our fast, secure, and reliable services.

Don't miss out on this limited-time opportunity to elevate your business with premium email solutions at an exceptional value.

Contact us today to learn more and take advantage of our unbeatable Easter offers:

[email protected]
0752560353

Ipe Utambulisho Kamili Kampuni yako kwa Kutumia Emails zenye jina la  kampuni yako, Hii itazidisha uaminifu kwa wateja w...
11/04/2025

Ipe Utambulisho Kamili Kampuni yako kwa Kutumia Emails zenye jina la kampuni yako, Hii itazidisha uaminifu kwa wateja wako pamoja na kuzidi kutangaza biashara yako.

Mfano
Badala ya : [email protected]
Tumia : [email protected] au .com

Vifurushi vyetu ni nafuu na vinavyoaminika. Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi.

Kwanini Kampuni Yako Itumie Barua Pepe Zenye Jina La Kampuni/Biashara Yako?

1. Utaalamu na uaminifu:
Barua pepe zinazotumia jina la biashara au kampuni huonyesha kuwa biashara hiyo ni rasmi na inaendeshwa kwa utaalamu.
Hii huongeza uaminifu kwa wateja na washirika wa biashara, na Inawafanya wateja kuwa na imani na biashara yako.

2. Utangazaji wa biashara:
Kila barua pepe inayotumwa ni fursa ya kutangaza jina la biashara. Hii husaidia kuimarisha utambulisho wa biashara na kuongeza ufahamu wa wateja.

3. Usimamizi bora wa mawasiliano:
Barua pepe za biashara hurahisisha kupanga na kusimamia mawasiliano ya biashara. Hii ni muhimu hasa kwa biashara zenye wafanyakazi wengi.

4. Ulinzi wa taarifa:
Huduma nyingi za barua pepe za biashara hutoa vipengele vya usalama vya hali ya juu, kulinda taarifa nyeti za biashara dhidi ya vitisho mbalimbali mtandaoni.

5. Kujenga chapa (Brand):
Barua pepe za biashara husaidia kujenga chapa ya biashara yako. Kila barua pepe inakuwa k**a tangazo la biashara yako.

Kwa ujumla, barua pepe za biashara ni zana muhimu kwa biashara yoyote inayotaka kuimarisha utambulisho wake, kujenga uaminifu, na kuboresha mawasiliano yake.

Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi.

WhatsApp: +255 752 560 353
Email: [email protected]

Elevate Your Communication with Professional Emails You'll Love. Starting at just 31,900 TZS/year, gain credibility and ...
08/04/2025

Elevate Your Communication with Professional Emails You'll Love.

Starting at just 31,900 TZS/year, gain credibility and make a lasting impression.
Contact us today to get started!

WhatsApp: +255 752 560 353
Email: [email protected]

Biashara yako inahitaji njia sahihi ya Kuwasiliana na wateja wako.Ifanye biashara yako kuwa ya kisasa na yenye kujitanga...
12/01/2023

Biashara yako inahitaji njia sahihi ya Kuwasiliana na wateja wako.

Ifanye biashara yako kuwa ya kisasa na yenye kujitangaza kwa kutumia Emails zenye jina la kampuni au taasisi yako.

Hizi ni faida kadhaa za kutumia Emails za biashara:-
1. Inakuweka karibu na wateja wako.
2. Inajenga uaminifu kwa wateja wako.
3. Inajenga uaminifu kwa wabia wako.
4. Develops stronger relationships.
5. Inaongeza watembeleaji wa tovuti yako.
6. Inaongeza ukuaji wa biashara yake.
7. Njia moja wapo ya kuitangaza biashara yako.

Sisi tupo tayari kukuwezesha kuwa na njia salama,aminifu na rahisi ya kuwasiliana na wateja wako.
Karibu tukuhudumie.

Tupigie sasa: 0752191873
Tuma Email: [email protected]


Kwa kutumia Wajuze Communications]Wezesha biashara au taasisi yako kuwasiliana na wateja kwa kutumia ujumbe mfupi wa mes...
13/10/2022

Kwa kutumia Wajuze Communications]

Wezesha biashara au taasisi yako kuwasiliana na wateja kwa kutumia ujumbe mfupi wa meseji wenye jina la biashara au taasisi yako.

Kwa kutumia Wajuze app, utaweza kutuma ujumbe uutakao kwenda kwa idadi ya watu uitakayo ndani ya sekunde chache tuu.

Unaweza unganisha app yetu na namba za simu zilizopo kwenye simu yako ili kupata urahisi wa kuchagua ni namba zipi unataka kutuma ujumbe wako.

Ni rahisi, salama na nafuu.
Pakua app yetu playstore kufurahia huduma zetu au tembelea tovuti yetu.

wajuze.com

Follow Wajuze Communications]

🇹🇿

Did you know?In 2016 Pizza Hut Africa got   by delivering   to the highest altitude.The highest altitude pizza delivery ...
11/07/2022

Did you know?

In 2016 Pizza Hut Africa got by delivering to the highest altitude.

The highest altitude pizza delivery on land is 5,897 m (19,347 ft) and was achieved by Pizza Hut Africa (South Africa) and Yum! Brands (USA) at the summit of Mount , , between 5-8 May 2016.
This record-breaking delivery was undertaken to mark the launch of Tanzania's first Pizza Hut. With the opening of the branch.

Photos 📸 by

Pata emails zenye jina la kampuni/biashara/taasisi au mradi wako kwa gharama nafuu.Utapata email accounts 5 tano na utal...
02/08/2021

Pata emails zenye jina la kampuni/biashara/taasisi au mradi wako kwa gharama nafuu.
Utapata email accounts 5 tano na utalipia 55,000 TZS kwa mwaka kwa account zote.

Mfano: [email protected]

Package details
25GB SSD STORAGE
5 Email Accounts
1 year duration

Call/WhatsApp: +255762529462
Email: [email protected]
Instagram: .tech

Address

Kwa Mrefu
Arusha
23112

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BMI GROUP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BMI GROUP:

Share