ChApp Digital Systems

ChApp Digital Systems Animations & Graphics Design | Apps & Webs Development | Computer Maintenance | Consumer Electronics Repairs | Data Recovery | IoT Solutions

Honoring the hands that build the world! Today, we salute the strength, dedication, and resilience behind every role. Ha...
01/05/2026

Honoring the hands that build the world!
Today, we salute the strength, dedication, and resilience behind every role. Happy International Labour Day!

07/04/2026

Tunakutakia kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya shujaa wa Mapinduzi , 2026.


Tukitafakari dhabihu kuu ya Upendo na Ukombozi.Tunawatakia Ijumaa Kuu yenye Utulivu na Tafakari njema.
03/04/2026

Tukitafakari dhabihu kuu ya Upendo na Ukombozi.
Tunawatakia Ijumaa Kuu yenye Utulivu na Tafakari njema.


Tunawatakia wateja wetu wote na jamii kwa ujumla Alhamisi Kuu njema. Siku hii itukumbushe sote umuhimu wa unyenyekevu na...
02/04/2026

Tunawatakia wateja wetu wote na jamii kwa ujumla Alhamisi Kuu njema. Siku hii itukumbushe sote umuhimu wa unyenyekevu na Upendo.

Happy International Women’s Day 2026. ✨Celebrating rights and equality for every woman and girl as a firm foundation for...
08/03/2026

Happy International Women’s Day 2026. ✨
Celebrating rights and equality for every woman and girl as a firm foundation for achieving Vision 2050.
Happy Women's Day to all the hardworking women out there!



̇nternationalwomensday

🌙 Ramadhan Mubarak! 🌙​Tunawatakia mwezi wenye baraka, afya, na utulivu. Katika kipindi hiki cha saumu na maombi, naomba ...
18/02/2026

🌙 Ramadhan Mubarak! 🌙
​Tunawatakia mwezi wenye baraka, afya, na utulivu. Katika kipindi hiki cha saumu na maombi, naomba Mwenyezi Mungu awafungulie milango ya kheri na mafanikio katika kila jambo lenu.

​Sisi k**a familia ya ChApp Digital Systems, tunasherehekea nanyi kipindi hiki cha neema.
​Ramadhani Njema kwenu nyote! ✨

Tunawatakia wateja na wadau wetu wote mwanzo mwema wa kipindi cha Kwaresima. Na iwe safari ya amani, upendo, na mageuzi ...
18/02/2026

Tunawatakia wateja na wadau wetu wote mwanzo mwema wa kipindi cha Kwaresima. Na iwe safari ya amani, upendo, na mageuzi chanya katika kila nyanja ya maisha yetu.


04/01/2026

Tunaendelea na zoezi letu la kufanyia marekebisho kufuli letu la kijanja (Smart Door Lock).
Wakati fundi akiondoa kufuli, hapa tunajifunza faida kubwa: Huna haja ya kugawa funguo kwa kila mfanyakazi!
​Unaweza kuweka passwords au fingerprints tofauti, na k**a "Administrator," utapata ripoti kamili ya nani kaingia na kwa muda gani kupitia simu yako.



18/12/2025

TUNAKULETEA SMART BUSINESS CARDS ZA KISASA – SMARTCONTACT QR
SCAN MOJA • TAARIFA ZOTE • HATA KUKIWA HAKUNA INTANETI
Vcard Smart Save
Pindi mtu anaposcani, anasave moja kwa moja:
JINA • NAMBARI • WHATSAPP • EMAIL • TOVUTI • MAHALI ULIPO
Hakuna kuandika tena, hakuna kupoteza contacts.
Logo Yako Kwenye Qr
QR inaonekana ya kipekee, imebeba chapa yako kamili (Brand Identity).
Inafaa kwa makampuni, maduka, tour operators, shule, consultants, na wafanyabiashara.
Unlimited Use
Print mara moja kwenye card, brochure, bango, gari la safari — hutumii tena gharama za kuongeza.
Haihitaji mtandao wakati wa kuscani
Paketi Na Bei
Basic Package: Card 1 @ TSh 50,000
Business Package: 10–50 Cards @ 15% Discount
Premium Package: 51+ Cards + Contact Microsite @ 30% Discount
TUNAPATIKANA ARUSHA – CHAPP DIGITAL SYSTEMS
MEC Building, Ghorofa ya 4, Mianzini
+255 714 668 664
🌐 www.chappds.co.tz
PIGA SIMU Au Tuma Ujumbe WHATSAPP kupata yako leo.
Kuongeza hadhi ya biashara yako kunaanza na card moja ya kisasa.

28/11/2025

jaribio ya kuvunja mlango yameshindikana!
Smart Door Lock yetu imekataa kabisa kuingia bila ruhusa.
Usalama wa uhakika kwa ofisi na biashara yako.

Address

Mec House, 4th Floor, Room 406
Arusha

Opening Hours

Monday 09:30 - 16:00

Telephone

+255714668664

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ChApp Digital Systems posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share