05/05/2026
π₯ MINI WIFI CAMERA HD π₯
Unataka usalama wa hali ya juu nyumbani, ofisini au dukani?
Pata Mini WiFi Camera yenye ubora wa juu kabisa! πΈ
β
HD Video Quality (Clear kabisa)
β
WiFi β Unaangalia live kwenye simu yako
β
Night Vision β Inaona hata gizani
β
Motion Detection β Inarekodi ikigundua movement
β
Ndogo & Rahisi kuficha
π° Bei: 38,000/= tu
π Arusha Town
π 0712350159
π Chukua sasa kabla hazijaisha!