Huduma Safi mtandaoni from jar cumpun

Huduma Safi mtandaoni from jar cumpun Karibu na idea yako yeyote ya kujenga mafanikio.

19/11/2021

Vijue Vitu Saba 7 vitakavyoleta mafanikio katika maisha yako.
Mwanzo wa kitu chochote katika maisha ya mwanadamu huanzia katika fikra na mawazo .
Hapo ndipo uhalisia wa mtu hutokea .mfano tabia, mwenendo, utendaji , uamuzi wake hutokea huko kwenye kufiki na kuwaza.
Sasa kitu Cha kwanza kabisa ambacho unatakiwa kubadili ili kufikia ndoto au mafanikio yako ni fikra na mtazamo wako,
Jambo la pili ni nidhamu ya muda. usicheze na muda, muda unapopita huwa haurudigi nyuma

Jambo la tatu na nidhamu ya pesa,

Jambo la nne ni nidhamu ya watu , bila watu ujue kuwa huwezi kufanikiwa , waheshimu watu , wapende watu, wajali watu.
Jambo la tano ni nidhamu ya kuthibiti moyo wako ukisoma mithali 4:23 inasema Linda Sana moyo wako maana ndiko ,ziliko chemi chemi ya uzima , wengi hatujajua shida ya mtu huwa inaanzia wapi, ni kwamba tatizo la mtu huwa inaanzia moyoni mwake mwenyewe , tatizo la mtu kukata tamaa kimaisha inaanzia moyoni tatizo la mtu kushidwa kujisia furaha inaanzia moyoni, tatizo la mtu kuwa na shauku ya kujitaji kufanikiwa linaanzia moyoni ndio maana hata biblia Inasema Linda Sana moyo wako maana hapo ndipo ziliko chemi chemi za uzima.
Usiruhusu moyo wako kuchafuka.
Kila wakati jaribu kufeel Mambo mazuri, ona mambo mazuri ndani yako na utaona jinsi maisha yako yatakavyobadilika hadi kufikia mafanikio yako uyapendayo

Nitaendeleea.
Karibu katika huduma hii ya darasa la hekima na ufahamu.

19/11/2021

Karibu katika darasa la hekima na ufahamu

Address

Arusha

Telephone

+255744911141

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Huduma Safi mtandaoni from jar cumpun posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share