Mpira Wa Afrika

Mpira Wa Afrika Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mpira Wa Afrika, ร้านขายอุปกรณ์อิเล็กทรอนิกส์, Saint Petersburg.

FULL TIME Stade De Malien 2 : 0 Mamelod Sundowns. Licha ya Malien kupambana ila magoli hayajatosha kuuondoa Mamelod. Mam...
22/03/2026

FULL TIME Stade De Malien 2 : 0 Mamelod Sundowns. Licha ya Malien kupambana ila magoli hayajatosha kuuondoa Mamelod. Mamelod wanaenda nusu Fainali mapema sana.

Full Time Al Hilal Sudan 0 : 1 RS Berkane. Dakika za jioni sana Berkane anapata goli kupitia kwa Mounir Chouiar linalomp...
22/03/2026

Full Time Al Hilal Sudan 0 : 1 RS Berkane. Dakika za jioni sana Berkane anapata goli kupitia kwa Mounir Chouiar linalompeleka hatua ya Nusu Fainal

Mechi za leo CAF Champions League.👉Al Hilal anamkaribisha RS Berkane huku mechi ya mkondo wa kwanza RS Berkane alilazimi...
22/03/2026

Mechi za leo CAF Champions League.
👉Al Hilal anamkaribisha RS Berkane huku mechi ya mkondo wa kwanza RS Berkane alilazimishwa Sare ya 1 : 1 kwao.
👉Stade Malien anakuwa Mwenyeji wa Mamelod, mechi ya mkondo wa kwanza Mamelod alishnda 3 : 0 akiwa nyumbani.

Iliman Ndiaye na  Idrisaa Gueye wakishangilia Goli wakionesha alama ya mbili, ujumbe kwa CAF kwamba Senegal wana AFCON m...
22/03/2026

Iliman Ndiaye na Idrisaa Gueye wakishangilia Goli wakionesha alama ya mbili, ujumbe kwa CAF kwamba Senegal wana AFCON mbili na sio moja.

Address

Saint Petersburg

Telephone

+255657588992

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mpira Wa Afrika posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mpira Wa Afrika:

Share