Mica-Tech & funny

Mica-Tech & funny Technology and funny πŸ–₯οΈπŸ˜„
"Pages inayokuletea tips za & "
you get it for free and enjoy πŸ˜‰
Welcome πŸ€—

🀣🀣🀣🀣 haya mambo haya why Samsung lkn
06/09/2024

🀣🀣🀣🀣 haya mambo haya why Samsung lkn

Unagombana na Mpenzi wako kila siku  sababu anakuta simu yako usiku inatumika?Dial *43 #  kisha OKHapo hatakama unaongea...
04/09/2024

Unagombana na Mpenzi wako kila siku sababu anakuta simu yako usiku inatumika?

Dial *43 # kisha OK

Hapo hatakama unaongea na simu nyengine haitamwambia unatumika bali itaonesha simu inaita kawaida tu na so unaweza kuamua kuipokea au ukakausha!

Kutoa ni #43 #

CALL WAITING we

WhatsApp imeanza majaribio ya kuweka uwezo kwa watumiaji kutengeneza list zao binafsi.Kwa sasa sehemu ya juu ya chats in...
31/08/2024

WhatsApp imeanza majaribio ya kuweka uwezo kwa watumiaji kutengeneza list zao binafsi.

Kwa sasa sehemu ya juu ya chats ina makundi ya Unread, Favourites, na Groups katika WhatsApp Business. Muda si mrefu watumiaji wataweza kutengeneza list zao binafsi na kuandika jina la list

Address

Seoul

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mica-Tech & funny posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share