04/08/2026
Kakamega people tuko area👀
K**a uko na biashara ya kilimo. Maybe uko na biashara ya agrovet, animal feeds, mboga na matunda, butchery, maziwa. Maybe unasupply agriproduce kwa mashule, hospitali, mahoteli, Avenews tumekuletea financing.
Tutakuwa area za Shinyalu, Sigalagala, Bukura Musoli, Lunza, Sabatia, Butere, Lubao, Malava, Matete na hizo area zote!!
Njoo tuongee. Rates zetu ni affordable na hatucharge any procession fee ama pesa zozote za juu. Markup pekee!
K**a huwezi fika, tupigie simu kwa 0111133300 ama dial *789*89 #. Pia unaweza DM!
Usiwachwe nyuma. Kaa Kwa Flow na Avenews!