24/05/2026
š Kamune huko Kamune imekuwa ikitajwa sana lately juu ya hizi story zinacirculate kwa Murangāa:
Smart City projects zimefika huko ā cabro, street lights, drainage na facelift ya center. Watu wengi wameanza kusema āKamune si ile ya kitambo tena.ā
Pia kuna politics moto kuhusu barabara ya Lower KiruāManangaāKamune, viongozi wakitupiana maneno kuhusu launches na maendeleo.
Na bado kulikuwa na trending story ya jamaa wa Kamune aliyekuwa anaonekana kwa avocado oil biashara na entrepreneurship vibes.
Kwa ground, Kamune sasa inaonekana k**a one of those rising Murangāa centers zinapata glow-up pole pole. Ile āushago but modernizedā combo š
Na honestly Murangāa yenyewe saa hii iko na vibe ya:
> āKila shopping centre inataka kuwa smart city.ā