VIFAA VYA UMEME

  • Home
  • VIFAA VYA UMEME

VIFAA VYA UMEME ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟwauzaji wa vifaa vya umeme wa majumbani na viwandani original
๐Ÿ‘‰๐ŸฟNo derivary
๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ0713537322

โšก๏ธ TERMINAL CRIMPING PLIERS / Crimping Tool zipo dukani! ๐Ÿ”งKwa kazi za wiring safi na kufunga terminals kwa usahihi wa ki...
26/05/2026

โšก๏ธ TERMINAL CRIMPING PLIERS / Crimping Tool zipo dukani! ๐Ÿ”ง
Kwa kazi za wiring safi na kufunga terminals kwa usahihi wa kitaalamu. Ubora unaoaminika kwa mafundi na matumizi ya viwandani.
๐Ÿ“ž Call / WhatsApp: 0713537322
๐Ÿ“ Location: Narung'ombe โ€“ Kariakoo
๐Ÿšš Sikukuu delivery ipo mikoa yote
Zipo brand k**a: ABB | SCHNEIDER | SIEMENS | LEGRAND | CHNT | TRONIC | HAVELLS
Tunapatikana na vifaa k**a:
โœ… Wire za Single
โœ… Twin Flexible
โœ… Armoured Cable
โœ… MCCB & MCB
โœ… Switch
โœ… DB TPN & SPN
โœ… Control Box
โœ… Drop Cable na vingine vingi
๐Ÿข Energycore Electrical โ€“ Quality products, quality connection โšก

โšก QUALITY ARMOURED CABLE ZINAPATIKANA โšกCall ๐Ÿค™ 0713537322๐Ÿ“  Electrical๐Ÿ“ Location: Narung'ombe & Sikukuu โ€“ Kariakoo๐Ÿšš Deliv...
25/05/2026

โšก QUALITY ARMOURED CABLE ZINAPATIKANA โšก
Call ๐Ÿค™ 0713537322
๐Ÿ“ Electrical
๐Ÿ“ Location: Narung'ombe & Sikukuu โ€“ Kariakoo
๐Ÿšš Delivery ipo mikoa yote Tanzania
Tunapatikana na brand bora k**a: ABB, SCHNEIDER, SIEMENS, LEGRAND, CHNT, TRONIC, HAVELL
Tunauza vifaa mbalimbali vya umeme:
โœ” Wire za Single
โœ” Twin Flexible
โœ” Armoured Cable
โœ” MCCB & MCB
โœ” Switch
โœ” DB TPN & SPN
โœ” Control Box na vifaa vingine vingi

โšก ORIGINAL CHNT RCCB/ELCB 100A Available โšกTunauza vifaa vya umeme vya uhakika kwa matumizi ya nyumbani, fremu, apartment...
20/05/2026

โšก ORIGINAL CHNT RCCB/ELCB 100A Available โšก
Tunauza vifaa vya umeme vya uhakika kwa matumizi ya nyumbani, fremu, apartments na viwandani ๐Ÿ”ฅ
Quality ni guaranteed ๐Ÿ’ฏ
๐Ÿ“Location: Narunโ€™gombe & Kariakoo
๐Ÿšš Delivery ipo mikoa yote Tanzania
Tunapatikana na brand kali k**a:
ABB โ€ข SCHNEIDER โ€ข SIEMENS โ€ข LEGRAND โ€ข CHNT โ€ข TRONIC โ€ข HAVELLS
๐Ÿ”Œ Vifaa vinavyopatikana:
โœ”๏ธ Wire za Single
โœ”๏ธ Twin Flexible
โœ”๏ธ Armoured Cable
โœ”๏ธ MCCB & MCB
โœ”๏ธ Switch
โœ”๏ธ DB TPN & SPN
โœ”๏ธ Control Box
โœ”๏ธ Drop Cable
๐Ÿ“ž Call/WhatsApp: 0713537322
๐Ÿช vya umeme kariakoo
โšก

Tunawaletea MCCB za ubora wa juu kutoka brand zinazokubalika duniani ๐ŸŒKwa matumizi ya majumbani, viwandani na commercial...
08/05/2026

Tunawaletea MCCB za ubora wa juu kutoka brand zinazokubalika duniani ๐ŸŒ
Kwa matumizi ya majumbani, viwandani na commercial projects ๐Ÿ”Œ
๐Ÿ“ Kariakoo โ€“ Narunโ€™gombe
๐Ÿช Energycore Electrical
Tunapatikana na bidhaa mbalimbali k**a:
โœ”๏ธ MCCB
โœ”๏ธ MCB
โœ”๏ธ DB TPN & SPN
โœ”๏ธ Switch
โœ”๏ธ Control Box
โœ”๏ธ Wire za Single & Twin Flexible
โœ”๏ธ Armoured Cable
โœ”๏ธ Drop Cable na vifaa vingine vingi vya umeme
Tunapatikana na brand k**a:
ABB | SCHNEIDER | SIEMENS | LEGRAND | CHINT | TRONIC | HAVELLS
๐Ÿšš Delivery mikoa yote inapatikana
๐Ÿ“ž Call/WhatsApp: 0713537322
ElectricalEquipment IndustrialElectrical WiringSolutions DarEsSalaam ElectricalStore

05/05/2026
โšก Umeme wa uhakika unaanzia hapa! โšกUnatafuta vifaa vya umeme vya uhakika kwa matumizi ya nyumbani au viwandani? Tuko tay...
03/05/2026

โšก Umeme wa uhakika unaanzia hapa! โšก

Unatafuta vifaa vya umeme vya uhakika kwa matumizi ya nyumbani au viwandani? Tuko tayari kukuhudumia kwa ubora wa hali ya juu na bei rafiki.

๐Ÿ“ž Call/WhatsApp: 0713537322
๐Ÿ“ Location: Kariakoo (Narun'gombe)
๐Ÿšš Delivery: Tunatuma mikoa yote, hata siku za sikukuu!

Tunapatikana na brand kubwa: ABB | SCHNEIDER | SIEMENS | LEGRAND | CHNT | TRONIC | HAVELL

Bidhaa zetu: โœ”๏ธ Wire za Single
โœ”๏ธ Twin Flexible
โœ”๏ธ Armoured Cable
โœ”๏ธ MCCB & MCB
โœ”๏ธ Switch & DB (TPN & SPN)
โœ”๏ธ Control Box
โœ”๏ธ Drop Cable

โšก Energycore Electrical โ€“ Tunakuunganisha na nguvu ya uhakika!

โšก๏ธ Ulinzi wa umeme wako unaanzia hapa!Tunakuja na MCB za uhakika (TRONIC) kwa matumizi ya nyumbani na viwandani ๐Ÿ”Œ๐Ÿ”ฅโœ”๏ธ Qua...
18/04/2026

โšก๏ธ Ulinzi wa umeme wako unaanzia hapa!
Tunakuja na MCB za uhakika (TRONIC) kwa matumizi ya nyumbani na viwandani ๐Ÿ”Œ๐Ÿ”ฅ
โœ”๏ธ Quality nzuri
โœ”๏ธ Inazuia overload & short circuit
โœ”๏ธ Inafaa kwa single phase & 3 phase
๐Ÿ“ž Call/WhatsApp: 0713537322
๐Ÿ“ Kariakoo โ€“ Narungโ€™ombe
๐Ÿšš Delivery ipo mikoa yote Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tunapatikana na brand kali k**a:
ABB | SCHNEIDER | SIEMENS | LEGRAND | CHNT | TRONIC | HAVELL
๐Ÿ›  Tunauza pia:
โ€ข Wire (Single & Twin Flexible)
โ€ข Armoured Cable
โ€ข MCCB & MCB
โ€ข Switches
โ€ข DB (TPN & SPN)
โ€ข Control Box
โ€ข Drop Cables
๐Ÿ‘‰ Chagua ubora, linda mfumo wako wa umeme!

๐Ÿ”Œ Waya za umeme quality ya juu โ€“ 2.5mm & 1.5mm Single Euro! ๐Ÿ”ŒTunapatikana na waya za 2.5mm na 1.5mm (Single Euro) zenye ...
28/03/2026

๐Ÿ”Œ Waya za umeme quality ya juu โ€“ 2.5mm & 1.5mm Single Euro! ๐Ÿ”Œ

Tunapatikana na waya za 2.5mm na 1.5mm (Single Euro) zenye ubora wa hali ya juu kwa matumizi ya nyumba na miradi mbalimbali ya umeme.

โœ”๏ธ Conductivity nzuri (umeme unapita vizuri)
โœ”๏ธ Zinadumu muda mrefu
โœ”๏ธ Salama kwa matumizi ya ndani na nje

๐Ÿ“Œ 2.5mm โ€“ Inafaa kwa sockets na matumizi yenye load kubwa
๐Ÿ“Œ 1.5mm โ€“ Inafaa kwa taa na matumizi madogo

๐Ÿ“ž Call/WhatsApp: 0713537322
๐Ÿ“ Kariakoo โ€“ Narunโ€™gombe na Sikukuu
๐Ÿšš Delivery mikoa yote Tanzania

๐Ÿ’ก Energycore Electrical โ€“ Tunakuletea ubora wa waya unaoaminika!

โšก๏ธ Submeter bora kwa kupima matumizi ya umeme kwa usahihi! โšก๏ธFuatilia matumizi ya kila chumba, mpangaji au kifaa kwa ura...
28/03/2026

โšก๏ธ Submeter bora kwa kupima matumizi ya umeme kwa usahihi! โšก๏ธ

Fuatilia matumizi ya kila chumba, mpangaji au kifaa kwa urahisi zaidi ukitumia submeter zetu zenye ubora wa hali ya juu. Ni suluhisho sahihi kwa apartments, biashara na majengo ya kupangisha. ๐Ÿ“Š๐Ÿ”Œ

โœ”๏ธ Usomaji sahihi (accurate readings)
โœ”๏ธ Rahisi kufunga na kutumia
โœ”๏ธ Inasaidia kudhibiti matumizi ya umeme

๐Ÿ“ž Call/WhatsApp: 0713537322
๐Ÿ“ Kariakoo โ€“ Narunโ€™gombe na Sikukuu
๐Ÿšš Delivery mikoa yote Tanzania

๐Ÿ’ก Energycore Electrical โ€“ Tunakupa control kamili ya umeme wako!

โš™๏ธ Control Box zenye size tofauti kwa matumizi yote! โš™๏ธTunapatikana na control box za ukubwa mbalimbali โ€” kuanzia ndogo ...
28/03/2026

โš™๏ธ Control Box zenye size tofauti kwa matumizi yote! โš™๏ธ

Tunapatikana na control box za ukubwa mbalimbali โ€” kuanzia ndogo hadi kubwa kulingana na mahitaji ya project yako. Zinakupa ulinzi bora wa vifaa vya umeme na mpangilio safi wa mfumo wako. ๐Ÿ”Œ๐Ÿ“ฆ

โœ”๏ธ Imara na salama
โœ”๏ธ Rahisi kufunga na kutumia
โœ”๏ธ Inafaa kwa viwandani na majumbani

๐Ÿ“ž Call/WhatsApp: 0713537322
๐Ÿ“ Kariakoo โ€“ Narunโ€™gombe na Sikukuu
๐Ÿšš Delivery mikoa yote Tanzania

๐Ÿ’ก Energycore Electrical โ€“ Suluhisho la uhakika wa vifaa vya umeme!

Address


Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255713537322

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VIFAA VYA UMEME posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to VIFAA VYA UMEME:

Shortcuts

Share