Ecom Skill & Servece Center

Ecom Skill & Servece Center Kwa Mafunzo mazuri ya Kiengereza na Computer wahi sasa ECOM SKILL AND SERVICE CENTER. Soma na ECOM uwe mtaalam

03/01/2013

Ecom bado inapokea wanafunzi wa computer na english cousre mnakaribishwa nyote

Bado tunaendeleza na mchakato wa kupokea wanafunzi so bado hujachelewa wahi sasa na kuchukua form ya kujiunga na ecom sk...
10/12/2012

Bado tunaendeleza na mchakato wa kupokea wanafunzi so bado hujachelewa wahi sasa na kuchukua form ya kujiunga na ecom skill and service center kwa mafunzo ya computer na english course fika taveta kigorofani

Ijumaa ya Mazoezi
07/12/2012

Ijumaa ya Mazoezi

Soma na Ecom uwe mjuzi
06/12/2012

Soma na Ecom uwe mjuzi

Picha za Ecom
06/12/2012

Picha za Ecom

05/12/2012

Tunapokea wanafunzi wanaotaka kujiunga na ECOM SKILL AND SERVICE CENTER

Dont take any picture please
05/12/2012

Dont take any picture please

05/12/2012

Kwa huduma za English Course na Computer fika taveta kigorofani zanzibar njia ya fuoni

05/12/2012

Ecom skill and service center kimeazishwa 2012 na watu wawili kwa makusudio ya kutoa huduma za kusomesha computer,english course pamoja na huduma za kutengeneza computer.
Vile vile tunasomesha katika madhingira yalokua katika hali nzuri kabisa madarasa yakisasa computer za kisasa pamoja na vikalio vyakisasa kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa nambo 0777876202 or 0777413942
Kwa upande wa Course za Computer tunatoa Computer Application zote (Microsoft office) Networking,Graghic design na Computer Maintenance.
Kwa upande wa English course tunasomesha
Beginners
Pre-Stage One
Stage One
Stage Two
Stage Three
Spacial English (Talking Class)
Fika jia la fuoni taveta kigorofani mnakaribishwa nyote.
Bei zetu ni nafuu.

Address

TAVETA KIGOROFANI
Zanzibar City

Telephone

+255777876202

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ecom Skill & Servece Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share