Computer in Swahili

Computer in Swahili jifunze Teknolojia ya Kompyuta kwa lugha ya kiswahili

07/10/2022

Leo tujifunze kwa kupitia comment za watu wengine.
Utatumia njia zipi ili Computer yako iwe katika hali nzuri kila sikui???

03/11/2021

Mafunzo ya 3.

mafunzo haya yanahusisha vipengele viwili.
1) Jinsi ya kuweka saa pamoja na tarehe.
2) Jinsi gani unaweza kuzima kompyuta yako pamoja na baadhi ya vitu k**a ishu za Task bar.

23/10/2021

Ushauri, comment, maswali tunapokea na pia k**a unataka kujua kuhusu computer wasiliana nasi.
Karibuni katika ulimwengu wa Kompyuta kwa lugha ya kiswahili.....

21/10/2021

Mafunzo ya 2.

yanahusisha yafuatayo:-
1. Kufuta folda ( to delete folder).
2. kubadilisha muonekano wa folda (to Change icon of folder).
3. Kurejesha folda ambalo umelifuta (to restore folder).

01/10/2021

Mafunzo ya mwanzo

Karibuni katika ulimwengu wa Kompyuta kwa lugha ya kiswahili.Tutajifunza mengi kupitia Kompyuta k**a:-1) Software.2) Har...
23/09/2021

Karibuni katika ulimwengu wa Kompyuta kwa lugha ya kiswahili.
Tutajifunza mengi kupitia Kompyuta k**a:-

1) Software.
2) Hardware.
3) Networking.
4) Kutatua matatizo mbali mbali ya Kompyuta yatokanayo na software pamoja na hardware.
5) Tutajifunza Camera.

Na mengi yanayohusu Teknolojia.

Karibuni katika ulimwengu wa Kompyuta kwa lugha ya kiswahili.......

Address

Fuoni Nyumba Moja
Zanzibar City

Telephone

+255772881891

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Computer in Swahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Computer in Swahili:

Share