14/07/2026
Teknolojia inakua kila siku, kwanini utumie nguvu kubwa kupata taarifa mbalimbali za biashara yako.
✓ Tumia Dukalangu kujua Mahesabu ya Mauzo yako ya siku, wiki, mwezi na Mwaka.
✓ Dukalangu itakupa ripoti za Mauzo, Manunuzi, Matumizi, Faida au Hasara.
✓ Kupata ripoti ya Unaowadai, Wanaokudai, Waliopunguza na Kukukumbusha unaowadai.
✓ Tunza rekodi zako za mauzo, stock, na matumizi.
✓ Fuatilia stock / Biashara yako hata ukiwa Mbali na Ofisi yako.
Inatumika kwenye Vifaa vyote - Simu, Computer, Tablet nk.
Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kutumia mfumo wasiliana nasi kupitia:
0617 288 752 -- WhatsApp
+255617288752--- Call