Upanga wa majini

  • Home
  • Upanga wa majini

Upanga wa majini Nawasaidia Watu Wote Wenye MagonjwaYa Kichawi,Vifungo Vya Kichawi,Nuksi,Mikosi,Husda,Hasadi n.k. NAPATIKANA ZANZIBAR TANZANIA 🇹🇿

21/08/2026
Kuota ndoto za kutisha zenye vitisho katika maisha yako ni kuharibu afya yako,biashara zako,au kazi zako na mahusiano ya...
23/06/2024

Kuota ndoto za kutisha zenye vitisho katika maisha yako ni kuharibu afya yako,biashara zako,au kazi zako na mahusiano yako.Kumbuka ikiwa wewe hauoti ndoto yoyote ni kifungo kibaya ulichofungwa ili usiweze kujua jambo zuri au baya lipo mbele yako.Ikiwa unaota usiku na ikifika asubuhi ndoto uliyoota unaisahau pia ni kifungo cha kichawi kwako na kila utakachokifanya kinakuwa hakina mwisho wala manufaa yoyote.Vifungo vipo ana nyingi miongoni mwa hivyo kufungwa kiafya,kiuchumi na kimahusiano.next time ntakuja na ufafanuzi na elimu ya vifungo,usikose kunicheki kupitia whatsap no.0782 806264 utanishukuru🙏

  _NDOTO ZA KIFO AU UNAKUFAMiongoni mwa ndoto mbaya na za kutisha zenye kumletea wasiwasi mwingi mwenye kuota ni kuota u...
16/05/2023

_NDOTO ZA KIFO AU UNAKUFA
Miongoni mwa ndoto mbaya na za kutisha zenye kumletea wasiwasi mwingi mwenye kuota ni kuota upo makaburini unalia au unaitwa na sauti itokayo makaburini,pia wewe kuota umekufa na kufanyiwa shughuli zote anazofanyiwa maiti mfno:-kuvalishwa sanda,kuoshwa,kuingizwa kwenye jeneza,kuingizwa kaburini au kuzikwa,kufukiwa michanga ukiwa kaburini au ndani ya kisima. ,,,UADUI ambao unafanyiwa na watu washirikina wenye kukufanyia uchawi wa vifungo Ili usifanikiwe katika mambo yako kiafya,kiuchumi,ndoa na mahusiano kuvurugika .Vile ambavyo maiti huwa haina la kufanya basi nawe utakuwa ni k**a maiti tu hakuna kitu utakifanya na kufanikiwa.NITAFUTE KWA WHATSAPP NUMBERS 0782 806 264 AU 0748 487 974
NTAKUSAUDIA🙏

Address


Telephone

+255782806264

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Upanga wa majini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share