28/03/2026
🔌 Waya za umeme quality ya juu – 2.5mm & 1.5mm Single Euro! 🔌
Tunapatikana na waya za 2.5mm na 1.5mm (Single Euro) zenye ubora wa hali ya juu kwa matumizi ya nyumba na miradi mbalimbali ya umeme.
✔️ Conductivity nzuri (umeme unapita vizuri)
✔️ Zinadumu muda mrefu
✔️ Salama kwa matumizi ya ndani na nje
📌 2.5mm – Inafaa kwa sockets na matumizi yenye load kubwa
📌 1.5mm – Inafaa kwa taa na matumizi madogo
📞 Call/WhatsApp: 0713537322
📍 Kariakoo – Narun’gombe na Sikukuu
🚚 Delivery mikoa yote Tanzania
💡 Energycore Electrical – Tunakuletea ubora wa waya unaoaminika!