FUNDI SIMU TG

FUNDI SIMU TG Elimu ya kukabiliana na matatizo ya simu yako ikipata shida. Nina uza Simu aina zote. Nina tengeneza Simu aina zote. TANGA | CHUMBAGENI

Je unajua IMEI ni nini na inafanya kazi gani?. K**a haujui hii inakuhusu kwafaida yako na wezako usiogope ku share, comm...
04/05/2026

Je unajua IMEI ni nini na inafanya kazi gani?. K**a haujui hii inakuhusu kwafaida yako na wezako usiogope ku share, comment na ku lake. Welcome

04/05/2026

2 likes, 1 comment. " "

Ukiwa unafahamu ni shida gani imetokea kwenye simu yako ni rahisi kuikabili na kuwa makini isijirudie. Haya ni matatizo ...
26/04/2026

Ukiwa unafahamu ni shida gani imetokea kwenye simu yako ni rahisi kuikabili na kuwa makini isijirudie. Haya ni matatizo mbalimbali yanayo ikumba simu yako ya mkononi na ndani yake kuna maelekezo jinsi ya kurekebisha baadhi ya matatizo hayo. Karibuni by .simutg

Simu yako haichaji vizuri? 🔌Mara nyingi tatizo si betri—ni uchafu kwenye charging port!Fuata hatua hizi rahisi kusafisha...
17/04/2026

Simu yako haichaji vizuri? 🔌
Mara nyingi tatizo si betri—ni uchafu kwenye charging port!
Fuata hatua hizi rahisi kusafisha simu yako bila kuharibu. ✔️
⚠️ Kumbuka: Usitumie chuma na epuka unyevu.
📲 Unahitaji msaada wa kitaalamu?
Wasiliana nasi: 0678 052 997
👉 Follow page kwa tips zaidi za simu na matengenezo.
.simutg

16/04/2026
 .simutg
07/04/2026

.simutg

27/02/2026

System charge replacement

Address

Chumbageni
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FUNDI SIMU TG posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share