Nad Insurance Agency

Nad Insurance Agency 🔰Super Agent: TANZANIA MNO's | CRDB | NBC | Azania | TCB
🔰Merchant Aggregator: M-Pesa | CRDB | Halopesa. Techs Tutorials

Retail Shops: VODACOM TANZANIA PLC.
📍Mwanza | Simiyu | Kagera | Mara | Kagera

Kuna kitu nahitaji kuzungumza na wafanyabiashara, iwe wanaofanya biashara kubwa au ndogo lakini wkaihusisha matumizi ya ...
05/02/2025

Kuna kitu nahitaji kuzungumza na wafanyabiashara, iwe wanaofanya biashara kubwa au ndogo lakini wkaihusisha matumizi ya namba za simu na E-mail katika kupokea taarifa za kibiashara mara kwa mara.

K**a unatumia email yenye , , , unajihatarisha sana katika kutoa taarifa za biashara yako bila kujua kile unachokifanya.

Mfano, tufanye imetokea huwa unafanya biashara na Vodacom, Tigo (Yas), CRDB na taasisi nyingine yoyotr na ukawa na watu wanaojua kuwa unafanya biashara hiyo, wanawezq kutengeneza email k**a hii [email protected] na wakakutumia wakiomba uingie kwenye portal yao ili uingize password zako, kumbe inakuwa portal inayofanana na ya Vodacom na isiwe sahihi, ukajikuta umetoa siri zako kwa sababu wewe mwenyewe unaamini kuna uwezekano wa kuwa na email k**a hiyo, email k**a hizi zenye mara nyingi zinatumika na wanafunzi au watu binafsi sio kwa ajili ya baishara, hivyo ni muhimu kuwa na email ya biashara.

Email ya kibiashara inaweza kuwa k**a hii [email protected], [email protected], hivyo hata wewe ukiwa nayo huwezi kupokea ujumbe wowote wa hovyo ambao hata haujauomba kwa sababu hizi mara nyingi k**a zinatumwa kwako zinatumwa kwa sababu ya kukupa taarifa tu na sio kukuomba ufanye jambo la kihuni.

Usitumie email za gmail hata siku moja.
K**a unahitaji email hizi, "TECHSLIDE" inazitoa kwa TSH 130,000 kwa mwaka mzima. Au TSH 50,000 kwa mwezi wa kwanza kisha baada ya miezi 2 unalipia TSH 10,000 kila mwezi. Zinakuwa unlimited, yaani unapokea email bila kupangiwa k**a gmail na outlook.

Wasiliana nao kwa 0688669384. Ni rahisi sana na ipende biashara yako, usiichukulie poa.

17/01/2025

Hii ni channel yetu ya WhatsApp, unaweza ukajiunga nasi, tuendelee kupata elimu kila siku
👇👇

17/01/2025

Dukani - Ni mfumo maalum unaotumika kwa ajili ya kufunga hesabu, kupata taarifa ya hesabu ya duka, bidhaa zilizouzika, bidhaa zilizobaki na matumizi yote ya duka.

Mfumo huu, unakuwezesha ku-manage maduka kuanzia mawili na kuendelea, hivyo kukuwezesha kupata taarifa kwa urahisi zaidi.

Mfumo huu unakuwezesha kutoa receipt za EFD, Z-Report kwa kukupa uhakika wa kodi unayotakiw kulipa kwa mwezi, miezi na hata mwaka mzima.

Tucheki leo uweze kuutizama kwa amajaribio ya siku 7 tu.

Kwa mawasiliano:

WhatsApp : https://wa.me/255688669384

Telegram : t.me/mdukuzitz

Facebook : facebook.com/mdukuzits

WhatsApp Channel : Follow the Techslide channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VajqJy96RGJP3DCMVu3Z

17/01/2025

Front-End developer na non-developer ,sasa unaweza kutengeneza website free kabisa kupitia create.xyz

Follow Mdukuzi Tz for more

Ai 10 za bure kabisa1. Uliza na pata ufumbuzi wa maswali yako : https://chat.openai.com2. Andika chochote unachojisikia:...
09/01/2025

Ai 10 za bure kabisa

1. Uliza na pata ufumbuzi wa maswali yako : https://chat.openai.com

2. Andika chochote unachojisikia: https://rytr.me

3. Generate Art: https://www.imagine.art

4. Generate Images: https://getimg.ai

5. Generate video: https://heygen.com

6. Generate music: https://beatoven.ai

7. Generate voice: https://play.ht

8. Generate slide: https://slidesai.io

9. Edit picha na kuikuza kuwa na ubora wa hali ya juu : https://cleanup.picture

10. Edit video: https://pictory.ai

Kwa maoni na ushauri

WhatsApp : https://wa.me/255688669384

Telegram : t.me/mdukuzitz

Ai 10 za bure kabisa1. Uliza na pata ufumbuzi wa maswali yako : https://chat.openai.com2. Andika chochote unachojisikia:...
09/01/2025

Ai 10 za bure kabisa

1. Uliza na pata ufumbuzi wa maswali yako : https://chat.openai.com

2. Andika chochote unachojisikia: https://rytr.me

3. Generate Art: https://www.imagine.art

4. Generate Images: https://getimg.ai

5. Generate video: https://heygen.com

6. Generate music: https://beatoven.ai

7. Generate voice: https://play.ht

8. Generate slide: https://slidesai.io

9. Edit picha na kuikuza kuwa na ubora wa hali ya juu : https://cleanup.picture

10. Edit video: https://pictory.ai

Kwa maoni na ushauri

WhatsApp : https://wa.me/255688669384

Telegram : t.me/mdukuzitz

Baadhi ya mbinu zisizozingatiwa WhatsAppKadri siku zinavyozidi kwenda basi WhatsApp inazidi kuwa na kijiji chake katika ...
09/01/2025

Baadhi ya mbinu zisizozingatiwa WhatsApp

Kadri siku zinavyozidi kwenda basi WhatsApp inazidi kuwa na kijiji chake katika suala la mawasiliano, mpaka sasa WhatsApp inashikilia watumiaji zaidi ya bilioni 1, cha kwanza kutokana na kuwa ni platform ya bure na pili ni rahisi kuitumia na jambo la mwisho kabisa ni ulinzi wa mawasiliano.

Baadhi ya features ambazo wengi hawazizingatii lakini zina msaada sana:-

1. Pinning Chats:

Hii ni sehemu ya kuzipa kipaumbele chats zako kutoka kwa watu muhimu au chats zako muhimj wewe mwenyewe, jinsi ya kufanya

(Nenda kwenye chat, press kwa muda kiasi kwenye hiyo chat, kisha bonyeza icon ya ki-pin.)

2. Starred Messages:

Hii ipo sawa na Pin Chat lakini utofauti wake yenyewe una BookMark kwa kuhitaji kusoma baadae hizo chats, namna ya kufanya👇

(Long-press a message and tap the star icon.)

3. Custom Notifications for Specific Contacts:

Unaweza ukaset notification tone kwa mtu maalum na ringtone maalum kwa ajili yake ikawa tofauti na mtu yeyote mwingine, cha kufanya👇

(Open the chat > Contact Info > Custom Notifications.)

Hizi ni baadhi ya vitu nilivyokutana navyo kupitia WhatsApp, kwa maoni, ushauri

https://wa.me/255688669384

07/01/2025
Namna ya kutumia CANVA kwa wewe usiye graphics designer.
06/01/2025

Namna ya kutumia CANVA kwa wewe usiye graphics designer.

04/01/2025

Address

Mizani, Jeshini, Block 202
Njombe
59119

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nad Insurance Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nad Insurance Agency:

Share