LIGE Store Mwanza - Phone Accessories

LIGE Store Mwanza - Phone Accessories � Tunauza vifaa vya simu.
� Fundi Simu Wa Kisasa Kabisa.
� 0655 027 386, 0629 462 148.

07/08/2026

🎤 WIRELESS MICROPHONE ZIMEWASILI! 🔥

Sauti safi na ya kitaalamu kwa video, interviews, live, TikTok, YouTube na maudhui yako yote.

✅ Wireless – hakuna usumbufu wa waya
✅ Sauti clear na yenye ubora
✅ Rahisi kutumia (Plug & Play)
✅ Inafaa kwa creators, walimu, waandishi wa habari na wafanyabiashara

🎯 Boresha ubora wa sauti kwenye kila video unayorekodi.

🚚 Delivery tunafanya popote ulipo.

📞 Agiza sasa: 0655 027 386

📩 Send Message au tupigie simu kuagiza yako leo!

03/08/2026

LIGE STORE MWANZA INAKULETEA FENI AINA ZOTE ,
KARIBU UPATE FENI YA
🎄🎄KUCHAJI
🎄🎄 UMEME direct
Bei ni nafuu mno

Tunapatikana MWANZA BUHONGWA STAND
AU WASILIANA NASI KWA NAMBA 0655 027 386
PIA TUTAFUTE FACEBOOK NA INSTAGRAM
LIGE STORE MWANZA

26/07/2026

QIUDES STAINLESS-STEEL ELECTRIC KETTLE
— 2.2 L
Chemsha maji haraka na salama

✔ Ujazo mkubwa 2.2 L — inatosha chai ya familia nzima
✔ Chuma cha pua (stainless steel) ndani & nje — haina harufu, rahisi kusafisha
✔ 360° cordless base — zungusha kettle upande wowote, hakuna usumbufu wa waya
✔ Automatic shut-off & dry-boil protection — inazima yenyewe maji yakichemka au yakikauka
✔ Powerful heating element (~1500 W) — maji yanachemka ndani ya dakika chache.

Karibu Tukuhudumie

LIGE STORE MWANZA - Kwa huduma zenye ubora na za kudumu.

Tupigie - 0655 027 386

# heater

23/07/2026

⌚ SMART WATCH KWA TSH 35,000/= TU! 🔥

Pata Smart Watch yenye muonekano wa kisasa na matumizi rahisi kwa bei ya Tsh 35,000/= tu.

✅ Pokea simu na ujumbe
❤️ Fuatilia afya na mazoezi
🔋 Betri hudumu kwa muda mrefu
📱 Inatumika na Android na iPhone

💥 Ofa ya muda mfupi – wahi kuagiza kabla bidhaa hazijaisha!

🚚 Delivery tunafanya popote ulipo.

📲 Bonyeza Send Message au piga 0655 027 386 kuagiza sasa.

20/07/2026

✨ BIDHAA ZA KISASA ZINAKUSUBIRI! ✨

Boresha maisha yako kwa vifaa vya kisasa na vyenye ubora wa hali ya juu! 🤩

⌚ Smart Watch – Fuatilia afya na pokea taarifa muhimu mkononi.
☕ Electric Kettle – Chemsha maji kwa haraka na kwa urahisi.
💡 Ring Light – Pata mwanga bora kwa video, picha na live.
🤳 Selfie Stick – Piga picha na video zenye ubora popote ulipo.

✅ Ubora wa uhakika
✅ Bei rafiki
✅ Delivery tunafanya popote ulipo

📞 Agiza sasa kupitia: 0655 027 386

Usikose fursa ya kupata bidhaa bora kwa huduma ya haraka na bei nzuri!
DeliveryAvailable

15/07/2026

💰 HIFADHI PESA ZAKO KWA USALAMA! 🔒

Pata Kibubu cha Kisasa kwa bei ya Tsh 30,000/= tu.

✅ Muundo wa kisasa na wa kuvutia
✅ Kinafaa kwa watoto na watu wazima
✅ Zawadi nzuri kwa wapendwa wako

💵 Bei: Tsh 30,000/= tu

🚚 Delivery tunafanya popote ulipo.

📞 Agiza sasa: 0655 027 386

Anza safari yako ya kuweka akiba leo kwa kutumia kibubu cha kisasa!

13/07/2026

🎉 KARIBU UPATE BIDHAA BORA KWA BEI NAFUU! 🎉

Unatafuta vifaa vya kisasa kwa matumizi ya nyumbani au binafsi? Sisi tumekuletea kila unachohitaji sehemu moja! 🤩

📱 Nokia 105
⌚ Smart Watch
☕ Electric Kettle
⌨️ Wireless Keyboard

Na bidhaa nyingine nyingi zenye ubora wa hali ya juu kwa bei rafiki.

✅ Bei nafuu
✅ Ubora wa uhakika
✅ Delivery tunafanya popote ulipo

📞 Agiza sasa kupitia: 0655 027 386

🎄🎄🎄kwa shilingi 7,000 tuu unajipatia cover kali na za kisasa kabisa 🎄🎄Fika leo dukani kwetu Mwanza buhongwa stand au was...
12/07/2026

🎄🎄🎄kwa shilingi 7,000 tuu unajipatia cover kali na za kisasa kabisa 🎄🎄

Fika leo dukani kwetu Mwanza buhongwa stand au wasiliana nasi kupitia namba
📞📞0655 027 386 📞📞

05/07/2026

💖 SABA SABA OFFER 💖
Kwa elfu 35,000 tu 👉 Jipatie Smart Watch nzuri kabisa ⌚🔥
🎁 Perfect gift kwa SABA SABA
📍 Lige_Store_Mwanza
📌 Buhongwa Stand
🚚 Free delivery kwa wakazi wa Mwanza
📦 Mkoani tunatuma popote
📲 Karibuni sanaaaa…

Address

Kenyata Road Near Buhongwa Primary School.
Mwanza
1813

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LIGE Store Mwanza - Phone Accessories posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share