NIKWO

NIKWO This page concerns with the following issues 1. System Development issues. 2. Graphics designing. 3.

13/07/2023
GRAPHICS SHORT CAUSETujiandae na mafunzo ya muda mfupi juu ya SANAA YA UCHORAJI KWENYE KOMPYUTA (Graphics Design).Kuanzi...
02/02/2023

GRAPHICS SHORT CAUSE

Tujiandae na mafunzo ya muda mfupi juu ya SANAA YA UCHORAJI KWENYE KOMPYUTA (Graphics Design).
Kuanzia wiki ijayo Tarehe 6/2/2023.
Utaratibu utakuwa k**a ifuatavyo;
Jumatatu na Alhamisi ni siku ya kutoa nadhalia (Theory)
Jumanne na Ijumaa ni siku ya kutoa vitendo na mifano (Practical)

Walengwa
1. Wanafunzi wa KOMPYUTA ngazi tofauti tofauti
2. Waajiliwa wenye matumizi ya michoro, vipeperushi, mabango, n.k

Elimu inayoitajika kuwa nayo
1. Kusoma na kuelewa kiingeleza( Lugha ntakayotumia kufundishia ni kiswahili)
2. Basic of Computer Applications.

Karibu Darasani.

Kanda ya ziwa(Mwanza, Mara, Kagera, Geita, Shinyanga) na Maeneo Jirani Kaa mkao wa kula. /memories  na Furahishi/Pressur...
12/07/2022

Kanda ya ziwa(Mwanza, Mara, Kagera, Geita, Shinyanga) na Maeneo Jirani Kaa mkao wa kula.

/memories
na Furahishi/Pressurable


07/12/2021

SAFARI NDEFU
Binti tazama mbele, acha kupumbazwa na kiza Cha usiku, Taifa linakutegemea. Ukicheza ukateleza utaishia kulia maana wenzako walilubuniwa wakadanganywa na chips Leo wanakosa chocolate, pizza na Baga Kisa walishatekekezwa.
Wamekuwa waumini wa sentensi shulutia kumbe walichelea kitambo jua limezama kabla ya majukumu kuisha, kipolo Cha kutimiza ndoto kimekutana na kufungua kinywa Cha jukumu la malezi ya watoto, mbaya zaidi kufungua kinywa nikitamu zaidi bilashaka kipolo kitaishia dampo. Waliongwa simu za mafungu jana Leo hawatamani simu janja ??
Dada vumililia uchovu wa mwili unaisha lakini husikubali kupotea Dira yako.

PATA VIPEPEEUSHI, MATANGAZO, NEMBO, MUHTASARI, n.k 0758192801/0713625038
14/11/2021

PATA VIPEPEEUSHI, MATANGAZO, NEMBO, MUHTASARI, n.k
0758192801/0713625038

Unadhani mawazo Gani nafikiri sasa hivi
05/02/2021

Unadhani mawazo Gani nafikiri sasa hivi

02/02/2021
Habari ndugu zangu??Leo napenda kuwa taalifu juu ya huduma unazoweza kupata kutoka NIKWO1. Nembo /Logo design2. Vipeperu...
07/01/2021

Habari ndugu zangu??
Leo napenda kuwa taalifu juu ya huduma unazoweza kupata kutoka NIKWO
1. Nembo /Logo design
2. Vipeperushi/ poster
3. System/software development and maintenance

Karibuni sanaaaa
By Ashiru Katto

Habari za muda huu ndugu zangu.Nichukue nafasi hii kuwakaribisha kwenye ukurasa huu. Nipende kuwaataalifu kuwa kila wiki...
28/08/2020

Habari za muda huu ndugu zangu.

Nichukue nafasi hii kuwakaribisha kwenye ukurasa huu.

Nipende kuwaataalifu kuwa kila wiki kutachapishwa mada moda Moja inayousiana na maudhui ya ukurasa huu.
Hili kuruusu watu kuuliza na kujibiwa kwa wakati.
Natumai bila shaka tutakuwa pamoja katika Elimu ya teknolojia.

Address

Morogoro
Morogoro
67115

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NIKWO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NIKWO:

Share