Bigwa Folk Development College

Bigwa Folk Development College Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bigwa Folk Development College, Computer training school, Kindibwa, Morogoro.

CMW Bigwa Kinatoa elimu kwa wananchi ili waweze kupata maarifa, ujuzi na umahiri katika matumizi ya rasilimali zilizopo
na kutawala mazingira ili kuleta maendeleo ya haraka kisiasa, kiuchumi, kijamii
na kiutamaduni,kupitia mfumo rasmi na mfumo usio rasmi.

Muendelezo wa Mafunzo ya baking na vegetarian food yaliyofadhiriwa na ESP partners(Colleges and Institute of Canada)
15/05/2026

Muendelezo wa Mafunzo ya baking na vegetarian food yaliyofadhiriwa na ESP partners(Colleges and Institute of Canada)

Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa kimenufaika kwa mafunzo ya kuongeza ujuzi katika mapishi ya vyakula vya kuoka,Mafun...
11/05/2026

Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa kimenufaika kwa mafunzo ya kuongeza ujuzi katika mapishi ya vyakula vya kuoka,Mafunzo haya ni kwaajili ya Kuongeza weledi kwa wakufunzi watakao toa mafunzo kwa vijana watakao pata mafunzo kupitia mradi wa unao fadhiliwa na serikali ya Canada kupitia Taasisi na vyuo Canada

Ungozi wa Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa Unawatakia heri ya  Wafanyakazi Duniani.
01/05/2026

Ungozi wa Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa Unawatakia heri ya Wafanyakazi Duniani.

Mwanafunzi wa Ufundi wa Umeme wa Majumbani akiwa kwenye mafunzo ya vitendo, akifanya majaribio ya mfumo wa nyaya za umem...
14/04/2026

Mwanafunzi wa Ufundi wa Umeme wa Majumbani akiwa kwenye mafunzo ya vitendo, akifanya majaribio ya mfumo wa nyaya za umeme kwenye bodi ya mafunzo ndani ya Chuo cha Maendeleo Bigwa. Hapa anatumia kifaa cha kupimia umeme (multimeter) kuhakiki usahihi wa miunganisho ya swichi, soketi, taa na boksi la usambazaji umeme.
Katika chuo hiki, wanafunzi hujifunza kwa vitendo ili kupata ujuzi halisi unaowawezesha kufanya kazi kwa ufanisi na usalama wanapohitimu.

Ufundi Umeme wa Majumbani
13/04/2026

Ufundi Umeme wa Majumbani

Happy Easter
04/04/2026

Happy Easter

Katika jitihada za kukuza utendaji,Watumishi wa Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa Leo Tarehe 31.03.2026 wamepata furs...
31/03/2026

Katika jitihada za kukuza utendaji,Watumishi wa Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa Leo Tarehe 31.03.2026 wamepata fursa ya kupatiwa mafunzo ya Utumishi wa Umma kutoka kwa Mtaalamu Mwl.Joseph Mashinji.

Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa Morogoro kimepokea takribani miche 400  ya miti kutokashirika la Child-Youth Transf...
31/03/2026

Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa Morogoro kimepokea takribani miche 400 ya miti kutokashirika la Child-Youth Transformation and Development (CYTD) kupitia mradi wa Youth Led Action for Climate Change (YLACC),katika jitihada za kuboresha mazingira Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi amezindua zoezi hi kufuatiwa na Upandaji mi miche hiyo Maeneo mbali mbali ya Chuo.

Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa kinawatangazia Mafunzo ya muda mfupi kupitia Mradi wa Uwezeshaji kupitia Ujuzi (ESP...
06/03/2026

Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa kinawatangazia Mafunzo ya muda mfupi kupitia Mradi wa Uwezeshaji kupitia Ujuzi (ESP) unaotekelezwa na Jumuiya ya Vyuo na Taasisi za Ufundi Kanada (CICan) kwa ushirikiano wa karibu na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Tanzania (WEST) kupitia Idara ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (DTVET). Mradi huu unafadhiliwa na Serikali ya Kanada.Lengo kuu la mradi ni Kuboresha Ushiriki wa Wanawake na Wasichana kwenye Shughuli za Kiuchumi nchini Tanzania. walengwa wa mafunzo haya ni Wanawake wanao ishi katika mazingira magumu wenye umri kati ya miaka 18 hadi 30,Awe Mtanzania anae jua kusoma na kuandika,anae ishi Kata ya Bigwa Manispaa ya Morogro.Mafunzo yanatole katika fani ya Ushonaji na Ubunifu wa mavazi na Upishi kwa muda wa miezi mitatu kuanzia 15 /04/2026 hadi 15/07/2026.fomu zinapatikana Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi kuanzia tarehe 09/03/2026 hadi 19/03/2026. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0713 423 475 (Mratibu Mafunzo)

Chuo Cha Maendeleo Ya wananchi Bigwa Kimepata Ugeni wa wakuu wa vyuo vya Maendeleo Ya watu Nchini Sweeden "Folk High Sch...
16/02/2026

Chuo Cha Maendeleo Ya wananchi Bigwa Kimepata Ugeni wa wakuu wa vyuo vya Maendeleo Ya watu Nchini Sweeden "Folk High School",Watumishi na Wanafunzi walipata muda wa kutosha wa ku badilishana uzoefu katika baadhi ya mambo ambayo vyuo hivi vinafanya k**a sehemu ya Maendeleo ya Watu.

Address

Kindibwa
Morogoro
61777

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bigwa Folk Development College posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share