04/12/2025
π Jinsi ya Kuongeza Kasi ya Simu Yako
1οΈβ£ Futa cache mara 2β3 kwa wiki
Inasaidia kurudisha speed bila kufuta data zako.
2οΈβ£ Ondoa apps usizotumia
Apps nyingi hufanya simu kuwa slow hata k**a huzifungui.
3οΈβ£ Zima auto-sync kwa apps zisizo muhimu
Huokoa RAM na battery.
4οΈβ£ Tumia Lite versions za apps (FB Lite, Messenger Lite)
Hizi hutumia data ndogo na RAM kidogo.
5οΈβ£ Reboot simu angalau mara moja kwa siku
Huondoa programu zilizokwama na kurefresh system.
6οΈβ£ Epuka live wallpapers & widgets nyingi
Zinatumia RAM sana bila sababu.
π HB Phone & Accessories