CENT Movies & stationary

CENT Movies & stationary printing, lamination, passport size, photo copy, movies supply

Je, una picha ya zamani au yenye giza? Usihofu!  CENT STATIONARY Tunatoa huduma ya kuhariri picha (Editing) kwa bei nafu...
10/04/2026

Je, una picha ya zamani au yenye giza? Usihofu! CENT STATIONARY Tunatoa huduma ya kuhariri picha (Editing) kwa bei nafuu. Tunapatikana kahama,Karibuni wote!"

📢 TANGAZO LA NAFASI YA KAZIOfisi ya CENT STATIONERY inatangaza nafasi ya kazi kwa mdada mwenye sifa zifuatazo:KAZI: Mhud...
13/03/2026

📢 TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

Ofisi ya CENT STATIONERY inatangaza nafasi ya kazi kwa mdada mwenye sifa zifuatazo:

KAZI: Mhudumu wa Stationery

SIFA ZA MWOMBAJI:
✔ Awe msichana mwenye umri kuanzia miaka 18 – 28
✔ Awe anajua kutumia kompyuta (ku-type, printing, scanning n.k.) au kazi zote za stationary
✔ Awe na nidhamu, uaminifu na kujituma kazini
✔ Awe tayari kufanya kazi muda wote
✔ Awe mkazi wa karibu na eneo la kazi

MAJUKUMU YA KAZI:

- Ku-type documents
- Kupiga copy na printing
- Scanning na lamination
- Kuhudumia wateja kwa heshima

📍 Mahali: CENT STATIONERY

📞 Wasiliana nasi:
Piga simu / WhatsApp: 0758174666

🗓 Mwisho wa kutuma maombi: 25/03/2026

Karibu sana kwa mwenye sifa kuwasiliana nasi.

Je, wajua? CENT MOVIES & STATIONARY mwezi huu wa WAPENDANAO Tunakuletea ofa muhimu sana maishani mwako, hii si ya kukosa...
08/02/2026

Je, wajua? CENT MOVIES & STATIONARY mwezi huu wa WAPENDANAO Tunakuletea ofa muhimu sana maishani mwako, hii si ya kukosa, CHEZEA PESA USICHEZEE FURSA.
➕2️⃣5️⃣5️⃣7️⃣5️⃣8️⃣1️⃣7️⃣4️⃣6️⃣6️⃣6️⃣ WhatsApp!

🏪 CENT MOVIES & STATIONARYHUDUMA BORA KWA MUDA MUAFAKA🖨️ Printing & Photocopy✍️ Typing & Scanning🛡️ Lamination🪪 Kadi mba...
21/01/2026

🏪 CENT MOVIES & STATIONARY
HUDUMA BORA KWA MUDA MUAFAKA

🖨️ Printing & Photocopy
✍️ Typing & Scanning
🛡️ Lamination
🪪 Kadi mbalimbali
🎬 Movies & Nyimbo
💾 Flash, Memory Card, Accessories

📲 Bonyeza WhatsApp kuwasiliana nasi

Address

Idahina/ushetu
Masumbwe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CENT Movies & stationary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share