Tamka Neno la kumtia moyo mwenzako

Tamka Neno la kumtia moyo mwenzako Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tamka Neno la kumtia moyo mwenzako, Makambako.

Matangazo ya Biashara mbalimbali ya ujasiliamali km vile Nguo Vitabu Mazao Hotel Migahawa vyote ndani na nje ya Tanzania nyote mnakaribishwa mladi tu tuwasiliane kwanza kabla ya kutangaza

26/12/2023
18/07/2023

😅😅😅😅 exactly tunaibiwa

18/07/2023

Huyu mzee km aliumba yy siku anavyozijua

09/10/2021

Story kutoka W A T U

"Mimi ni binti wa miaka 25 nilikuwa nafanya kazi kampuni flani nikakutana na mzee flani ambaye alikuja K**a mteja akawa interested na mimi akaniomba namba nikampatia.

Juzi nimekuja Dar nikaonana nae hotelini, anaonekana ni mtu anayejua kujali sana na pia anauwezo mkubwa wa kifedha.

Kilichonifanya nije kwako ni kwamba nililala nae aliponiomba s*x nikamwambia tutumie kinga akaniambia tukitumia kinga uume wake unalala. Mimi niligoma kumpa kavu nikamwambia mpaka tupime hakujibu chochote.

Tukaacha kufanya mapenzi tukafanya kissing tu. Pia alininyonya sehemu ya uke wangu.

Nimekuja kupata hofu zaidi asubuhi baada ya kuona kwenye bag lake Kuna madawa mengi na pia afya yake ni dhoofu. Nilimuuliza unaumwa nini akaniambia ana ugonjwa wa kisukari pia aliniahidi kunisaidia mtaji wa biashara ila tangu nilipoondoka mpaka sasa hajanitafuta.

Nilimtafuta akaniambia atanipigia.

Naombeni mnishauri huyu anaweza kuwa mtu mzuri kweli na vipi kuhusu alivyonikiss na kuninyonya, naweza pata magonjwa kwa njia hiyo?
ninahofu".- Anonymous

02/03/2021

Tuna chapa vitabu mbalimbali km Bus tickets Cash sales Invoice Delivery Note Receipt Book Payment Voucher N.K karibuni tupo Stand mpya ya mabasi Makambako kwa mawasiliano +255754774754

09/08/2020

Address

Makambako

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tamka Neno la kumtia moyo mwenzako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tamka Neno la kumtia moyo mwenzako:

Share