MASAI Company&Pub

MASAI Company&Pub Pub &mgahawa
Tunakodi music,huduma ya usafiri ndani ya korogwe
Tunauza
*TV,deki,laptop,computer ,frig na Simu
*viatu na nguo za kisasa
*nafaka
Dalalihuduma

22/07/2024
BONANZA MAALUM LA KUMBUKIZI YA MWANAFILIA YA MPIRA KOROGWE Ukiwa k**a mwanafamilia wa soka Korogwe unaombwa kuhudhuria B...
28/06/2024

BONANZA MAALUM LA KUMBUKIZI YA MWANAFILIA YA MPIRA KOROGWE

Ukiwa k**a mwanafamilia wa soka Korogwe unaombwa kuhudhuria Bonanza hili maalum kabisa lililoandaliwa kwa ushirikiano wa Watumishi pamoja na wapenda soka wilayani Korogwe.

Sisi tukiwa miongoni mwa wapenda maendeleo ya soka Korogwe TUTASHIRIKI BONANZA HILI

Tukutane Uwanja wa Sokoni kesho Alfajiri na mapema📌🔥🔥


UPUMZIKE KWA AMANI COMRADE Thadei Ole Mushi  Nitazidi kumwombea ninachokumbuka ni fikra zake na mitazamo yake na ushauri...
04/02/2024

UPUMZIKE KWA AMANI COMRADE
Thadei Ole Mushi Nitazidi kumwombea ninachokumbuka ni fikra zake na mitazamo yake na ushauri wake juu yangu.Aliwahi semaga tunahitaji vijana wenye mawazo wa kuliazima Taifa ushauri hivyo mdogo wangu ukishindwa amini siasa,dini,viongozi basiliamini Taifa lako pindi uonapo kote giza 🙏🏼

ᴏɴ sᴀʟᴇ ɪsᴛ ɴᴇᴡ ɴᴇᴡ
27/01/2022

ᴏɴ sᴀʟᴇ ɪsᴛ ɴᴇᴡ ɴᴇᴡ

NISSAN XTRAIL AXISModel: 2004/05Engine Capacity: 1990cc COLOR : Gold Alloy Rim'sport Auto Mirors4 Wheel optionalPower Wi...
23/08/2021

NISSAN XTRAIL AXIS
Model: 2004/05
Engine Capacity: 1990cc
COLOR : Gold
Alloy Rim'sport
Auto Mirors
4 Wheel optional
Power Window
FM Radio DVD Player
Clean Interior And Exterior

Bei -15.5M TSH TU + USAJILI BUREEE
Call whatsapp +255675001913

Troublering
25/12/2019

Troublering

Biashara Nimeanza kupokea oda ya jinzi, Raba, t-shirt, mashati kwa watu wangu wa korogwe, tanga jiji na mkoa kwa ujumla,...
18/08/2017

Biashara
Nimeanza kupokea oda ya jinzi, Raba, t-shirt, mashati kwa watu wangu wa korogwe, tanga jiji na mkoa kwa ujumla, moshi, arusha na morogoro mzigo utakufikia vaa vitu original kua wa kipekee.... Nicheki kwa oda
official_rixx_chambo
rixx_wakuwile_chambo
number 0675001913
Pia tunaleta simu used na za dukani kwa bei chee bado mzigo wa t-shirt za tanga boy zimekuja tena kwa wale waliokosa

23/09/2015

Huna haja ya kuuumiza kichwa kwa wale wanaohangaika.......kutafuta nguo na viatuuuu saizi kubwa ......oversize.....unachotakiwa ni kuonana na ommy....0675001913 naye ayakuletea nguo saizi yako na aina uzitakazoooo.......kwa wale mulioagiza mzigo wa Dickies......mzigo uliwafikia wajusika wote.....asante na munakaribishwa

07/09/2015

Ni muda wako sasa kijana wa korogwe kujipatia laptop simu desktop computer kwa bei nafuuuuuu

Address

P. O BOX 565 Korogwe
Korogwe

Telephone

0675001913

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MASAI Company&Pub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share