26/09/2024
Tuna zalisha na kuuza miche Bora na ya kisasa aina zote kwa bei nafuu.Tupo Mkoa wa Iringa, wilaya ya Kilolo, kijiji cha Kilolo
Pia tunatoa huduma mbali mbali k**a kuwasaidia wakulima kupata maeneo mazuri kwaajili ya kuwekeza kuwashauli namna nzuri ya kuwekeza katika kilimo chenye tija na hatimaye kufikia malengo
Cont # 0765563340/0717678567
Email:[email protected].