25/09/2026
π Jenga na Boresha Biashara Yako kwa Teknolojia!
Takijo Technologies Holdings Limited inatoa huduma za kitaalamu za utengenezaji wa software na mifumo ya kidijitali inayolenga kusaidia biashara kufanya kazi kwa ufanisi, kuwafikia wateja zaidi na kukua katika dunia ya teknolojia.
π» Huduma tunazotoa:
π Utengenezaji wa Website na Web Applications
π± Utengenezaji wa Mobile Applications
βοΈ Utengenezaji wa Software maalum kulingana na mahitaji ya biashara
π API na System Integration
π E-commerce na Online Marketplace Systems
π’ Business Management Systems
π‘οΈ Mifumo salama na inayoweza kukua pamoja na biashara
π§ Software Maintenance na Technical Support
Una wazo la software? Unahitaji mfumo wa biashara yako? Au unataka kuipeleka biashara yako kwenye ulimwengu wa kidijitali?
Takijo Technologies iko tayari kubadilisha wazo lako kuwa suluhisho halisi la kiteknolojia.
π TAKIJO TECHNOLOGIES HOLDINGS LIMITED
Kasulu, Kigoma, Tanzania
π§ Email: [email protected]
π± WhatsApp: +255 688 046 229
π Website: www.takijo.com
Jenga. Buni. Kua. β Takijo Technologies.
, , , , , , , , ,