Dsm Electronics

Dsm Electronics Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dsm Electronics, Electronics, Magila & likoma, Kariakoo.

17/09/2026

TAYARI UNA WATEJA WA KITCHENWARES, WAONGEZEE NA ELECTRONICS!🔥

Tv|Radio|Oven|microwaves|gas cookers|blenders|kettles|Fridges |Freezers

Tunapatikana kwa bei za jumla kwa wafanyabiashara.

Tuma “JOIN” tukuongeze

📍kariakoo, KKKT kanisani.

17/09/2026

Thanks Much Arusha🤝🙏

17/09/2026

LIPA BAADA YA KUPOKEA DAR ES SALAAM.
📍KKKT kanisani, Kariakoo, Dar es salaam.
Agiza sasa 0762 670 267

15/09/2026

Ina eye care, google Tv and smart Tv. 📍kariakoo, magila na Likoma, dar es salaam
Simu 0762 670 267

14/09/2026

Skywood washing machine 7kg Tsh. 440,000/= Uwekezaji usiochosha, beki tatu asiye na hisia, ukiwa nae mumeo yuko salama🙈. 2 years warranty

Tupo kariakoo, mtaa wa magila na likoma. Free delivery in Dar es salaam

10/09/2026

Nzuri ofisini na chumba kidogo Tsh. 160,000/=
7L capacity, ubaridi wa kutosha k**a AC

28/08/2026

Usinunue Tv kwa Bei kubwa, wakati unaweza kupata bei nzuri zaidi.

Location: Kariakoo KKKT Kanisani, Dar es salaam

27/08/2026
26/08/2026

ADH FRIDGE DOUBLE DOOR 95L Tsh. 365,000/= tu.

📌Sauti ya kimya (zero noise)✅
📌Uimara wa kudumu (3years warranty)
📌Ufanisi wa usioelezeka, ni zaidi ya matokeo unayoyatarajia.
📌zero return, hazina return. Maana ubora wake umekizi vigezo

25/08/2026

Hisense 70” 4K UHD ni Tv kubwa inayokaa vizuri kwenye sitting room kubwa na kuipa mwonekano wa kifahari na nadhifu zaidi. Tv si burudani tu bali ni pambo la ndani.

Tupo kariakoo, mtaa wa Magila na Likoma, Dar es salaam.

Kwa Tsh. 2,000,000 utafungiwa Tv yako bure kabsa

Address

Magila & Likoma
Kariakoo
1111000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dsm Electronics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category