Luza's Matelephone

Luza's Matelephone Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Luza's Matelephone, Mobile Phone Shop, Aggrey Street, Kariakoo.

Tunashauri na kuelimisha juu ya matumizi Bora na vifaa Bora kwa ajili ya simu yakoo na namna kuikinga dhidi ya uharibifu unaoweza kutokea bila kuwa umepatiwa ushauri namna ya kuikinga na uharibifu karibu tuwasiliane tusemezane na kukuelimisha

OFA OFA INFINIX NOTE 30 256GB 16RMJIPATIE KWA MKOPO BILA RIBA KWA KIANZIO TUU INAYOBAKI UNALIPA NDANI YA MIEZI 3,4 au 5 ...
09/08/2023

OFA OFA
INFINIX NOTE 30 256GB 16RM
JIPATIE KWA MKOPO BILA RIBA
KWA KIANZIO TUU INAYOBAKI UNALIPA NDANI YA MIEZI 3,4 au 5 bila riba yoyote.

tunaendelea kuboresha huduma zetu ili kukupatia huduma bora siku zote.

Habari ya mjini miliki Smartphone kwa kianzio tuu unapata Simu yako hapo hapo.

KARIBUNI  ●Tuna simu unapata kwa fedha taslimu/CASH au MKOPO.●Tuna masharti nafuu kwako kupata mkopo huu tafadhali usisi...
08/08/2023

KARIBUNI

●Tuna simu unapata kwa fedha taslimu/CASH au MKOPO.

●Tuna masharti nafuu kwako kupata mkopo huu tafadhali usisite kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Namba zetu ni 718014228
+255 or
716699021
Karibuni sana sana.
Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Aggrey/Msimbazi RD.



KARIBUNI SANA  ● Tuna simu ambazo unaweza kupata kwa fedha taslimu/CASH au MKOPO.● Tunatoa mkopo ndani ya muda mfupi san...
08/08/2023

KARIBUNI SANA

● Tuna simu ambazo unaweza kupata kwa fedha taslimu/CASH au MKOPO.

● Tunatoa mkopo ndani ya muda mfupi sana ukiwa umetimiza vigezo na masharti yetu.

● Fika ofisini kwetu na viambatanisho vifuatavyo:-
1)Kitambulisho chako kimoja wapo
>LESENI YA UDEREVA (VALID)
>KITAMBULISHO CHA TAIFA (NIDA)
>KITAMBULISHO CHA KURA

2)Mashahidi wako wawe wawili.

3)Uwe mtumiaji wa line ya TIGO,VODACOM au AIRTEL.

4)MALIPO KUANZIA MIEZI 3,4 au 5.

Kwa maulizo zaidi wasiliana nasi.

Habari ya mjini sasa ni Hot 30i128GB 8GB SIMU KALI Inapatikana luza_mobile kwa cash na mkopo pia.Unakosaje kubambaaa na ...
28/07/2023

Habari ya mjini sasa ni Hot 30i
128GB 8GB
SIMU KALI
Inapatikana luza_mobile kwa cash na mkopo pia.
Unakosaje kubambaaa na Infinix kali k**a hii.
Huna cash njoo tutakukopesha kwa miezi 3,4 na 5 kwa bei ya punguzo 40% hadi 30%
Hatuboi Hatupoi piga simu tukuhudumie hakuna ubabaifu. 0718 014 228 au 0716 699 061. Lakini pia mkoani tunatuma na Dar es salaam tunakuletea ulipo karibuni sanaa.

Wimbo wetu sasa  ni kukurahisishia huduma kiganjani. Hii fursa ya kupata mkopo ndani ya dakika chache na simu unaondoka ...
28/07/2023

Wimbo wetu sasa ni kukurahisishia huduma kiganjani. Hii fursa ya kupata mkopo ndani ya dakika chache na simu unaondoka nayo hapo hapo haturembii hatuboii. Fika dukani kwetu kwa huduma bora lakini pia kwa maulizo na namna ya kupata mkopo au huduma zetu wasiliana nasi 0718 014 228 au 0716 699 021 moja kwa moja tutakuhudumia.

Get one.Get touch.Enjoy us.
Luza_mobile ni suluhisho lako.

SAMSUNG GALAXY A54128GB 8RAM ndiyo mkombozi wa kweli wa huduma za uhakika.
28/07/2023

SAMSUNG GALAXY A54
128GB 8RAM
ndiyo mkombozi wa kweli wa huduma za uhakika.

VIVO V25e128GB 8RAMPata kitu bora ni Luza_mobile pekee
28/07/2023

VIVO V25e
128GB 8RAM
Pata kitu bora ni Luza_mobile pekee

VIVO 1664GB RAM 4Get one.Get touch.Enjoy us
28/07/2023

VIVO 16
64GB RAM 4
Get one.Get touch.Enjoy us

VIVO Y22 GB 128 RAM 4Karibuni sana simu kali simu ya kijanja camera kali sana.
28/07/2023

VIVO Y22 GB 128 RAM 4
Karibuni sana simu kali simu ya kijanja camera kali sana.

Yes Yes tupo wazi karibuni wateja wetu. Ofisi ipo Aggrey/Msimbazi Road Kariakoo. Tukakuhudumia lakini k**a utahitaji tuk...
28/07/2023

Yes Yes tupo wazi karibuni wateja wetu. Ofisi ipo Aggrey/Msimbazi Road Kariakoo. Tukakuhudumia lakini k**a utahitaji tukufikishie ulipo karibu sana. Wasiliana nasi 0718014228,0716699021 office line

Karibuni sana tumeshafungua tupo mtaa wa Aggrey / Msimbazi Road - KARIAKOO
27/07/2023

Karibuni sana tumeshafungua tupo mtaa wa Aggrey / Msimbazi Road - KARIAKOO

Samsung S 10+  Gb 128 ram8
12/11/2022

Samsung S 10+ Gb 128 ram8

Address

Aggrey Street
Kariakoo

Opening Hours

Monday 07:30 - 18:00
Tuesday 07:30 - 18:00
Wednesday 07:30 - 18:00
Thursday 07:30 - 18:00
Friday 07:30 - 18:00
Saturday 07:30 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Luza's Matelephone posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Luza's Matelephone:

Share